Stress free zone

Nafurahi kama umefanikiwa kuitengeneza,
weekend hii nimeamua kupumzika tu mahali
baada ya mastress, nitakucheck next week
kama vipi karibu wewe mahali hapa.

Mamndenyi njoo tunywe Mbege Bana, halafu utoe maksi kama nimepatia kuitengeneza..
 
Nafurahi kama umefanikiwa kuitengeneza,
weekend hii nimeamua kupumzika tu mahali
baada ya mastress, nitakucheck next week
kama vipi karibu wewe mahali hapa.

Poa poa Mamndenyi.. nitakuja pande hizo kukutafuta
 
Cantalisia kama unaleta pozi sababu unajua klorokwini yupo na Erotica futa was was.

sie ni open uhusiano. Rejao hajambo? mwambie nina bidhaa mpya apite ofisini kwangu.
My dia Erotica wala sina wasi wasi kbs,nilikuwa na mkumbusha tu uwepo wako maana alitaka kumreplace Rejao wangu,

Rejao hajambo kbs,ujumbe umefika atapita pande hizo usijali!
 
Last edited by a moderator:
My dia Erotica wala sina wasi wasi kbs,nilikuwa na mkumbusha tu uwepo wako maana alitaka kumreplace Rejao wangu,

Rejao hajambo kbs,ujumbe umefika atapita pande hizo usijali!


teh teh teh. kimeeleweka kabis. ila hujaona my klorokwini iz beta than my Rejao?

dunia yako chaguo lako! Chagua Klorokwini, chagu kilicho bora!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
@Kaizer kuna mahali nimeona unantafuta ubaya...
Halafu umenifichia wife wangu nina kesi na wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…