Stress free zone

agonge like wapi? Ana miwivu huyo kama Bishanga.

Leo anaenda kunywa sumu usiku.
halafu we Kongosho kwa nini unajigonga kwa Asprin wakati yeye hakutaki tena?
(anadai eti unatabia ya kusoma gazeti wakati anapata luncheon na mwisho unamwambia akitosheka na msosi afunike bakuli)
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, he he he, unataka nikuonjeshe vibrasheni na 'kamua baba'?

Huoni Asprin alivyotulia?

halafu we Kongosho kwa nini unajigonga kwa Asprin wakati yeye hakutaki tena?
(anadai eti unatabia ya kusoma gazeti wakati anapata luncheon na mwisho unamwambia akitosheka na msosi afunike bakuli)
 
Last edited by a moderator:

hahahhaah klorokwini, nitabaki Ankal tu..hivi wapwa wangu unawajua kweli? basi hao hao.. Mwali, na Husninyo. Nipo katika kumbembeleza Hus arudi,,,nasikia we ndo Kibabu ulitaka ku do naye lol

Ankal fo ever
 
Last edited by a moderator:

:biggrin1: aisee bora hata angekua ni anna mkapa kuliko huyo kinda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…