Stress free zone

Makubwa...asee Cantalisia kuna mtu huku mtaani wa jinsia ya KIKE ananchokoza. Niepukane naye vipi.....manake anweza kunihatarishia ndoa yangu nami bado naipenda LOL

Khaaaa!shem wangu Kaizer mbona huyo kiumbe hajipendi!hebu muulize maswali haya kabla cjakupa namna ya kumkabili,1.Alishawahi kunyonyolewa bila maji ya moto? 2.Alishawahi kutolea jino bila ganzi kwa msaada wa plaiz na tindo?
 
Last edited by a moderator:
Makubwa...asee Cantalisia kuna mtu huku mtaani wa jinsia ya KIKE ananchokoza. Niepukane naye vipi.....manake anweza kunihatarishia ndoa yangu nami bado naipenda LOL

Acha kuvunga wewe!!
Najua utampa kaisari yaliyo ya kaisari......na desh desh yaliyo ya deshi desh....lol!!
 
Hizi ndoa za msimu nazo zinachanganya kweli vichwa.
 
JF bhana....so wonderful....nimeshia kucheka sana usiku huu mpaka nikamwamsha niliyelala nae.
 
Last edited by a moderator:
ASEE Erickb52 klorokwini huyu hapa hebu mwambia kuna issue gani aisee......tukae kama kamati shauri liishe nje ya mahakama

Hapa la msingi niletee kipenzi changu mambo yataisha....shauri halitaenda mahakamani...
Klorokwini nshaongea nae kazi ni kwako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…