Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,065
- 136,432
Numbers will be the ultimate decider on whether this unprecedented uprising succeeds or fails.
Katika huu muktadha, ninaamini katika ile idiom ya strength in numbers.
Kilichotokea jana na leo hakijawahi kutokea nchini.
Pia, kimewashangaza watu wengi, mimi nikiwemo.
Hata majirani zetu wa huu ukanda wa Afrika Mashariki nao wameshangazwa maana hata wao walikuwa hawaamini kama Watanzania wanaweza kujitokeza kwa namna walivyojitokeza.
Kitu ambacho nakiona kinaweza kukwamisha hii uprising, ni idadi ya watu wataojitokeza kuandamana.
Mpaka sasa idadi ya waliojitokeza si kubwa kivile ukilinganisha na population yote ya Tanzania.
Idadi iliyojitokeza, kwa mtazamo wangu, haitoshi kuweka shinikizo ambalo litaleta mabadiliko ya kweli.
Kwa mfano, hapo Dar sidhani kama waandamanaji walifika hata laki moja.
Huko kwingine nako hivyo hivyo tu.
Idadi yao ni ndogo lakini kelele zao ni kubwa.
Hapo Dar wakijitokeza hata watu milioni moja, kwisha kazi.
Si jeshi la polisi wala JWTZ wenye ubavu wa kuwazuia raia milioni moja waelekeao ikulu ya Dar. Hawawezi kuzuia nyomi kama hiyo.
Huko mikoani nako huhitaji idadi kubwa kivile.
Pata picha Mwanza wanajitokeza watu laki nne hapo mjini. Nani atawazuia?
Polisi hawana risasi wala mabomu ya kutosha kuzuia idadi kama hiyo.
Hapo Dodoma mjini watu laki mbili tu wakiandamana kwenda kuichukua ikulu yao, hakuna wa kuwazuia.
Katika idadi ya takriban watu milioni 70, idadi iliyojitokeza ni ndogo sana kuweza kuwaondoa CCM.
CCM, kwa kuangalia idadi ya watu iliyojitokeza, wanaamini wanaweza ku weather the storm na kuendelea kubaki madarakani.
Hao watu walipaswa kuwa overwhelmed na nyomi za uhakika.
Dar ina watu wangapi? Milioni 5 au 6?
Kati ya hao wangepatikana hata milioni moja na ushee hivi, sasa hivi tungekuwa tunabubujikwa na machozi ya furaha tu.
Sijui kama hilo litatokea. Bado muda upo lakini. Hivyo tutaona itavyokuwa.
Kikwazo kikubwa [ambacho ni uoga] kimeshavukwa.
Sasa hivi kilichobaki ni critical mass tu.
Ikifikiwa hiyo, CCM kwisha habari yake.