Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,071
- 136,458
- Thread starter
- #21
We shall see.Kwenye mapinduzi ya kiraia, defense forces huwa hazikimbilii kufurusha watawala. Huwa zinaingilia kati baadaye sana kutanzua stalemate inayoweza kutumbukiza taifa kwenye civil war. Fuatilia struggles zote za aina hii elsewhere. Majeshi hayakuchukua hiyo extraordinary step mwanzoni mwanzoni.
Ila mimi sina kabisa imani na JWTZ.
Huwa wanajisifia walimpiga Idd Amini.
Kumpiga Idd Amini wala si jambo la kujitambia.
Amin’s army was nothing to write home about.
I stand to be proven wrong. And if that happens, I shall humbly come back and eat my crow.