Strawberry na mbogamboga

Strawberry na mbogamboga

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
404
Reaction score
187
Wakuu,naleta kwenu matunda ya Strawberry. Nitakuuzia kwa jumla na wewe upate hela kidogo baada ya kuuza reja reja au hata kwa matumizi ya nyumbani. Mbali na Strawberry pia tuna vitunguu, karoti, hoho na mbogamboga
 
Attachments

  • 1424669960739.jpg
    1424669960739.jpg
    126.5 KB · Views: 373
Nauza mche mmoja wa strawberry elf moja na mia tano, nipo iringa
 
Nami nahitaji miche ya strawberry pamoja na mulberry (mfursadi).
Niko Dar kwa muda.
The Boss mfursadi si ndio mulberry ile ambayo vitunda vyake vinakuwa black vikiiva sana
 
Last edited by a moderator:
Nami nahitaji miche ya strawberry pamoja na mulberry (mfursadi).
Niko Dar kwa muda.
The Boss mfursadi si ndio mulberry ile ambayo vitunda vyake vinakuwa black vikiiva sana

Babe ungeweka picha
but mfursadi ndio strawberry ...siujui mulberry
 
Hizo kwenye picha ndo fursadi
mfursadi ni mti wake
matunda ni fursadi
 
Babe ungeweka picha
but mfursadi ndio strawberry ...siujui mulberry

Owkey, picha siwezi niko na simu. Google basi mulberry halafu utaniambia ni nini kwa kiswahili. Ni iko widespread nakumbuka nyumba yetu moja huko nzega ilikuwa kama fence hivi.
 
Back
Top Bottom