mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Naweza kupata miche yake?
Me nnayo miche ya strawbery nauza
Naweza kupata miche yake?
Nauza mche mmoja wa strawberry elf moja na mia tano, nipo iringa
Weka bei basi
Naweza kupata miche yake?
Bei ya strbry
Bei ya Strawberry kwa mkebe (approximate ni 1kg) ni 4000 ingawa ukinunua idadi kubwa tutakupubguzia kidogo ndugu. Napatikana Dar though mashamba yapo moro
Nahitaji kwa ajili ya nyumbani tuu upo wapi dar
Babe ungeweka picha
but mfursadi ndio strawberry ...siujui mulberry
Yah napatikana dar though Muda mwingi katka mwezi ninapatikana morogoro
So miche tutaipata kwa huku Dar?