THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
Jamani tusiwe wepesi wa kulaumu hii kampuni iko njema sana. Kumwaga zege hadi likauke sio kazi ya siku moja wala mbili na ukumbuke kabla ya kuweka hilo zege kuna Landscaping kubwa sana imefanyika.
Nakumbuka ujenzi wa Sam Nujoma ulilalamikiwa sana huku walalamikaji wakizisifia kampuni zilizokua zinajenga Shekilango na Kilwa roads. Leo hii nenda kajionee tofauti ya roads hizo.
Nadhani tuweni nasubiri sometimes
Naam nyie ndiyo watu mnaotakiwa Tz, siyo wabwabwajaji.