Story Za Vijiwen Special Thread

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,912
2,000
Wadau Kwema

Hapa Tutakuwa Tunapeana Story Mbali Mbali Za Vijiwen & Vijiwe Vya Kahawa

Leo Katika Pita Pita Zangu Nilipata Bahat Ya kukutana Na Mzee Mmoja Iv Kiumri Anagonga 65 +

Bass Tutawa tunapiga story Mbali Mbali Gafla Nikamsikia Akisema

Ipo Siku Kuna Taifa Moja Toka Katika Bara La Africa LitaKuja Kutawala Dunia

Yani Katika Siku Za Mbelen may B Baada Ya Miaka 10, 20, 30, 50, 100, 200 Ila Ipo siku Kuna Taifa Moja Toka Africa Litakuja Kuwa SUPER POWER

Na Mataifa Ya Haya Makubwa yatakuja Africa Kwa Ajili Ya Kuomba Misaada Mbali Mbali

Maneno Uumba

Nawasilisha Karibu Sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom