Story za Prof. Palamagamba Kabudi

Hapa ndio alikuwa Kabudi sasa hivi ni Kaputi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story na fix kibao.mtalaam wa kusimulia hadithi za zamani kwa kutumia nahau na misemo
 
Siasa ni kujitoa ufahamu tu maana akili unaiweka kwenye begi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Prof. Palamagamba Kabudi atoboa siri ya kimbilio lake pindi ajionapo dhaifu ili aweze kuinuka tena kuendelea 'kupambana' kama askari yule shujaa wa vita ya pili ya dunia WWII (1939 - 1945)

 
March 21, 2019
Prof. Palamagamba Kabudi : Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa umepokea ugeni wa Naibu Waziri Mkuu wa Qatar kuzungumzia masuala ya gesi ya LNG , reli ,utalii, ununuzi wa dhahabu kule Geita na pia ugeni wa makamu wa Rais mtendaji wa kampuni ya StatOil / EQUINOR / EQNR kutoka nchini Norway ambaye amekuja nchini kwa ziara ya kikazi..
Source : Global TV
 
Fropesa kalamaganda kabugi ni mzee wa mafix

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
August 21, 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania

Mkutano wa Mh. Prof. Palamagamba Kabudi na waandishi wa habari

Duh.! Kabudi azozana vikali na mwandishi baada ya kuulizwa swali hili la Zimbabwe kuwekewa vikwazo na Jumuiya za Kimataifa. Cha kushangaza nimeona waandishi wa Habari wakipiga makofi katika mkutano wao na waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Hii ni ajabu sana waandishi kuwa mashabiki

Source: ABC Habari

The proposed imposition of further sanctions are set to be further discussed when 28 EU foreign ministers meet in Brussels on Monday (February 18).


Currently, only former president Robert Mugabe, his wife Grace and the Zimbabwe Defence Industries had effectively remained under EU sanctions, while an asset freeze and travel restrictions had been temporarily suspended for five officials including vice-president Constantino Chiwenga and army commander Phillip Valerio Sibanda.


Over the past few years, the EU had reduced the number of officials on sanctions from the initial list of 200 that were placed under the measures first imposed in 2002 but the latest development is a fresh blow to President Emmerson.
Source: https://www.businesslive.co.za/bd/w...u-recommends-more-sanctions-against-zimbabwe/
 
Jamaa lina mapovu mno. Huwa likiamua kusifia basi linaweza kumaliza biblia kwa kuweka vifungu vya kunogesha sifa. Aliwahi kuapa kule Marekani eti hatokaa atokee Rais bora kama Magufuli. Hovyo kabisa!


Huyo anaitwa "political sycophant", kwa sifa hizo anazotoa itakuwa kuna kitu anakitafuta .
 
Ndie chaguo la jiwe nasikia ndo tujiandae ndo rais ajae ukiacha MAJALIWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…