Huyo aliyeandika haya maoni amekulia wapi? Alizawa na kukulia huko huko USA? Kama alizaliwa na kukuli huko nitamsamahe kwa haya aliyoandika. Lakini kama alikulia Tanzania nitashangaa kwani historia ya Tanzania ni somo tunalolisoma tangu shule za msingi na kuendelea. Mimi nikiwa primary school nakumbuka mambo kama vita vya majimaji, kuzaliwa kwa TAA na baadae TANU, harakati za uhuru na mambo mengi tulikuwa tunafundishwa.2 Sep 2018
Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Ughaibuni katika Maendeleo ya Kijamii na Uchumi.
Mmoja wa wana -Diaspora Bw. Deus Rugemalira kwa kumnukuu maoni yake:
'' Hotuba hii ya Prof. Palamagamba Kabudi inafumbua macho ya wengi. Inatoa mwanga (walau kwa ufupi), kama Taifa
1. Wapi tumetoka,
2. Tumetoka vipi,
3. Wapi tumefika na changamoto zake
4. Wapi tunaenda.
Tusipoyajua Haya hatuwezi kujitambua na hatuwezi kuendelea. Ningependa kuona inachapishwa hata gazetini (kama ilivyo) ili wasio na namna ya kuiona, basi wakaisome".
Rais wa mioyo yenu yuko wapiJamaa lina mapovu mno. Huwa likiamua kusifia basi linaweza kumaliza biblia kwa kuweka vifungu vya kunogesha sifa. Aliwahi kuapa kule Marekani eti hatokaa atokee Rais bora kama Magufuli. Hovyo kabisa!
kabakiza kutoa macho tu[/QUOTE
ds fst year
Kuna kabudi anayemilikiwa na jiwe na aliyekua mjumbe wa kamati ya kukusanya maoni katiba mpya!!Prof. Palamagamba John Kabudi na story zake nyingi kuhusu masuala ya kimataifa kuhusu Julius Nyerere. Azungumzia nafasi ya Tanzania katika dunia na ushawishi wake na kwenda mbali zaidi Prof. Palamagamba Kabudi anafananisha nafasi ya Tanzania ni kama 'nyonga' ya Afrika ktk masuala ya kimataifa.
Source : Zanzibar Ni Kwetu
Kuna kabudi anayemilikiwa na jiwe na aliyekua mjumbe wa kamati ya kukusanya maoni katiba mpya!!
Kama atafanya kwa utashi wake subir mapya lakini kama anasubir maelekezo ya jiwe subiri vituko na fedhehaTunasubiri sasa kumuona Prof. Palamagamba John Kabudi ktk jukwaa la kimataifa atakuwa na nafsi gani mpya.