Story za mapenzi...

Vipi Erick mzima?
Kijana hajui mapenzi ndio habari kubwa duniani!

Umeona eeeh
Mwambie stevoh mambo yako katikati kwingine urembo!
Kula kitu roho inapenda kama anataka kupendwa aje tumpe wa kumpenda sio kutuletea fitina Madame B
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahaha
pole sana ujui maana ya chit-chat! Mapenzi ndio habari ya mjini! Na yanachukua nafasi kubwa!
Daaah ungemjua Madame B au cacico wala usinge toa lawama kuhu kuwataja!
Weeee achaaaaaaa tuuuuuu
Daaaah watoto hawa we acha tuuu!

Habari ndo hiyo.
Nakupendajee
 
Labda mie ndiyo sielewi vizuri meanin ya Chtcht? Nijuavyo mie ni jukwaa liko kikokteil (cocktail) zaidi , but si kila mchanganyiko una'sense hapa.
Due love issues zina applay but not in fully reality! Hata story zingine za kikawaida mleta mada anayo choice ailete kwa ukweli wake wote au vinginevyo.
Kama mimi nnaelewa tofauti nijuzeni tu! Milango iwazi.
 
Back
Top Bottom