Story za mapenzi...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,924
Points
1,195

stevoh

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,924 1,195
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba MODS wasaidie kuzimuvuzisha huko.
Alafu hivi kwanini ni story zinazomuhusu Madame B tu kwani wengine hawapendeki?? Pia akitoka huyo anafata sijui wanamwita Cacio naye nimeona siredi zake inamaana jukwaa la MMU Halipo.??
Mapendekezo;
-either jukwaa la MMU lifungwe!!
-either siredi zote za mapenzi zihamishiwe MMU
-AU watokee watu wengine wanaopendwa sio tuliowazoea tuu
-AU tuanzishe spesho sired kwa ajili ya wanaoexpres malovee yao hapa chitchat.

Nawasilisha.
 
KARIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
721
Points
195

KARIA

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
721 195

Sio bure umetumwa stevoh! Madame B waambie watuache CC yetu aah! Wote wanakaribishwa CC tena bila masharti sasa chukisijui inatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,135
Points
2,000

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,135 2,000
mkuu stevoh ukiona malovee chit chat jua kuwa ni malovee ya kichit chat zaidi na sio reality dats y mods wameziacha huku!!!!!
asante kwa kunielewa......
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
53,008
Points
2,000

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
53,008 2,000
Ukiwa Chit Chat hakuna rangi utaacha kuona...hivi nikikuambia kuwa huyu Madame B katika maisha ya kawaida ni mke wangu wa ndoa, utaamini au utakataa??...mbona mie mwenye mke nipo kimyaaaa domo nimelitia plastaaa wakati madogoo kina Chilli, tedo Loya na yule Chimbuvu wanaruka samasoti hapa wakati wamevaa misuli...
 
Last edited by a moderator:

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Messages
1,655
Points
1,225

Chilli

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2011
1,655 1,225
Ukiwa Chit Chat hakuna rangi utaacha kuona...hivi nikikuambia kuwa huyu Madame B katika maisha ya kawaida ni mke wangu wa ndoa, utaamini au utakataa??...mbona mie mwenye mke nipo kimyaaaa domo nimelitia plastaaa wakati madogoo kina Chilli, tedo Loya na yule Chimbuvu wanaruka samasoti hapa wakati wamevaa misuli...
Basi mi niunganishieni kwa huyu mtoa mada, natumiaga hata wa hivyo!!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,392,810
Members 528,696
Posts 34,118,623
Top