Story za mapenzi...

Madame B nyota yake ndo inayong'aa sana,
humu ukisoma jifanye kama vile huelewi ukiyazingatia utakufa nacho kijiba cha roho.
 
Last edited by a moderator:
Madame B nyota yake ndo inayong'aa sana,
humu ukisoma jifanye kama vile huelewi ukiyazingatia utakufa nacho kijiba cha roho.

mama nimeshaeleweshwa na charminggirl ila kwanini yeye tuu wengine hawapendeki??
 
Last edited by a moderator:
mama nimeshaeleweshwa na charminggirl ila kwanini yeye tuu wengine hawapendeki??

Madame B ana kimzizi kimoja hatareeee, alipewa na babu mmoja anaitwa mzee Mwakizaro anakaa Duga...
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa Chit Chat hakuna rangi utaacha kuona...hivi nikikuambia kuwa huyu Madame B katika maisha ya kawaida ni mke wangu wa ndoa, utaamini au utakataa??...mbona mie mwenye mke nipo kimyaaaa domo nimelitia plastaaa wakati madogoo kina Chilli, tedo Loya na yule Chimbuvu wanaruka samasoti hapa wakati wamevaa misuli...

hapo ndipo patamu kumbe kuna wapendao kujigongagonga eee haya SALUTE MKUU
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahaha
pole sana ujui maana ya chit-chat! Mapenzi ndio habari ya mjini! Na yanachukua nafasi kubwa!
Daaah ungemjua Madame B au cacico wala usinge toa lawama kuhu kuwataja!
Weeee achaaaaaaa tuuuuuu
Daaaah watoto hawa we acha tuuu!

Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba MODS wasaidie kuzimuvuzisha huko.
Alafu hivi kwanini ni story zinazomuhusu Madame B tu kwani wengine hawapendeki?? Pia akitoka huyo anafata sijui wanamwita Cacio naye nimeona siredi zake inamaana jukwaa la MMU Halipo.??
Mapendekezo;
-either jukwaa la MMU lifungwe!!
-either siredi zote za mapenzi zihamishiwe MMU
-AU watokee watu wengine wanaopendwa sio tuliowazoea tuu
-AU tuanzishe spesho sired kwa ajili ya wanaoexpres malovee yao hapa chitchat.

Nawasilisha.
 
Mkuu nadhan wangekua ma "MONTER" jukwaa la MMU maana wanaongoza kwa kupendwa.a

Back
Top Bottom