Story za kijiweni 😂

Mawazo255

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2026
Posts
241
Reaction score
679
Story za kijiweni 😂

Jamaa akasema: “Nikipata bilioni 1, mimi sitahangaika tena maisha yangu yote. Nitakuwa natumia laki moja tu kwa siku.”

Mmoja akamuuliza: “Unajua bilioni 1 itakutosha kwa muda gani?”

Akasema: “Miaka 100! 😂”

Mzee wa kijiweni akamwangalia akasema: “Kaa chini kwanza mwanangu… hesabu nayo ina maisha yake.” 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…