Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,296
Reaction score
3,929
Basi bwana mimi boss ashampoo 2022 nilikuwa napenda sana kutoka kila week kuanziia jmosi hadi jpili sometimes nikiwa na hela naanzia jpili


Basi nilikuwa nakaa enzi hizo makumbusho apartment fulani sasa kuna hiyo company yangu fulani wao walikuwa wanakuja kwangu siku ya jumapili saa nne usiku kunipitia tu wao walipenda sana kwenda kula pata bata mbezi beach kwa zena kiwanja kidimbwi beach enzi kinawaka sana yaani kiwanja kweli balaa kila mtu kidimbwi kidimbwi kumbuka ni 2022 almost kila jumapili ilikua lazima twende


Basi bwana siku moja niko zangu kidimbwi na wanangu ghafla nikamuona dem mkali black beauty kiuno nyigu kidogo ,mrefu ana midomo mizuri yaani huyu dem mpya wa kiba mimi nilimuona mwaka 2022 naaam jamani huyu dem live ni mzuri sana ...rangi yake balaa

Sasa nilivyomuona siku ile nikadata sana basi kumbe nae ni regular wa kidimbwi ikawa kila nikienda nae yupo hasa kule ma VIP .... japo mimi huwa na wanangu tunakaa vip ila mimi huwa napenda kukakaa mitaa ya changanyikene sababu urahis kupata mboga yaani madem

Sasa dem wa kiba ikawa kila nikienda nae yupo siku nikamtegea anaenda chooni nikaomba number akanipa sasa nifurahi sana nikasema basi kaisha

Basi ikafika jtatu nikamchek tukapanga kuonana basi siku hiyo nikawa na kazi zangu sikumchek nikasepa zangu town ikaja siku nyingine nikamchek tukachat chat basi akaniambia yupo south africa akirudi tuonane ....basi nikapotezea na kweli nikiiingia mtandaoni nakuta kweli yupo south africa hata kwenye instagram yake


Basi siku moja akaniambia sikia unataka kuonana mimi nigee 500000 hahaahah yaaani laki tano ...nikamwambia nina laki nne akakubali .....sijui pepo gani lika niingia sikumtafuta tena japo hela nilikuwa nayo

ila mimi nilitaka husiano tu normal sikujua ni wale wale sababu madem wa kulipa nimekula wengi sana mixer wasanii mfano yule mtoto wa mtangazaji wa marehemu wa clouds radio... yule video vixen wa nje ya box wa weusi nilimpa mia tatu.... inshort in enzi sijatulia nilikuwa kazi ni hiyo tu japo kondomu huwa sisahau

Basi siku nikakutana na rafik angu mmoja ni shoga yes shoga yeye huwa nampa kazi ya kuni kuwaadia madem maana mashoga wengi ndo kazi zao ukuwadi na ndo maana nikawa na number yake akasema aaaha wewe yule ni kazi za mjini tu mbona ungesema mapema ashampoo tungemaliza kwa bei ya kawaida mara nyingi shoga akileta pc kama kuwadi unampa 40000 au 30000 pia na kwa dem anachukua ndo kazi zao


So alikiba sijui kama ana taarifa kuwa dem wake mpya historia yake ya nyuma ni kazi chafu mtoto wa mjini huyu dem wake mpya anatamba nae mwaka 2025 watoto wa mjini hasa vip za kidimbwi alikuwa hakosi jamani wajuaji wa wengine wa mjini kama una mjua weka comment hapo maana alikuwa anashinda sana kidimbwi

ila all in all dem yule mzuri jamaani kama atatulia ni bonge la dem tall mweusi mzuri midomo lips pink kumamakeee kama hujui tabia zake lazima uingie kingi

View attachment 3414384

mod naomba hamishie uzi uende jukwaa la mapenzi nimepost bahati mbaya huku siasa
 
Kama niliye Soma nime changanyikiwa hivi, vipi uliye andika uzi 🤔🦅
Screenshot_20250719-213331_1.jpg
 
Mademu wote maslay queen lazima wawe wauza 😸
Naitakuwa anajua tu maana msanii kudate mwanamke ambaye siye Malaya ni sawa na kuokota pochi la Hela sokoni
 
Ndio maana mama Samia akisimama majukwaan anajibu na kuongea Kwa kibri ,kwakuwa anajua n aina Gani ya vijana anaowaongozaaa😀😀😀

Wa hovyo
 
hahahaha acha kutoa siri za watu, mengine mezea tu..

Wanangu wa Sandton, J'burg kati, Durban, Istanbul, Deira DXB, Ghuanzhou, Hongkon nk wakija nao kuweka shuhuda humu na kutaja majina ndoa na mahusiano mengi sana yatavunjika mjini.

Tuwastili dada zetu hawa, angalau ndoa zao zidumu aisee, japo tabia zao nyuma ya pazia ndio vile tena, maana masela huwala hata ndogo kwa tamaa zao za kuishi high-life.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
 
hahahaha acha kutoa siri za watu, mengine mezea tu..

Wanangu wa Sandton, J'burg kati, Durban, Istanbul, Deira DXB, Ghuanzhou, Hongkon nk wakija nao kuweka shuhuda humu na kutaja majina ndoa na mahusiano mengi sana yatavunjika mjini.

Tuwastili dada zetu hawa, angalau ndoa zao zidumu aisee, japo tabia zao nyuma ya pazia ndio vile tena, maana masela huwala hata ndogo kwa tamaa zao za kuishi high-life.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
Hasa watu jo.burg aseee mnawala sana maslay queen ......sasa hivi..... mimi mwaka 2018 nilikula mke wa lecturer aliyenifundisha ifm kule guanzhuo china sasa wakati wa kurudi tulipanda oman air si tukapita oman kulala ili kubadili ndege mke wa lecturer akaja rooom kwangu na kazidi age yuko 40s now ....yaani wake za watu huko guanzhou wana liwa kirahisi pia maslay queen
 
Back
Top Bottom