Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nipo baba paroko mzima weyeUpo?
Nipo baba paroko mzima weyeUpo?
Inawezekana alikuwa anamlia timing toka siku ya kwanza akaweka mtego wa kutokuchukuliwa jamaa akanasaNinapiga picha hali ya mapigo ya moyo ya Travis kusikia sauti za watoto wake wanapanda ngazi, badala ya kufurahia kuwaona unaomba ardhi ipasuke. Inaelekea Veronica alikuwa hajaguswa muda mrefu, it was the wrong time at the wrong place.
Kama kichwa cha juu cha Travis kitakuwa re-connected haraka anaweza kuwaza anachopenda mke wake, let say, do babe, zile Asia amenipigia simu mzigo mpya wa handbags umeingia, anataka uwe wa kwanza kuchagua, hembu tu wahi. Huku nyuma anamwambia Veronica aondoke haraka.hapo lazima hali ilikuwa tete kwa wote watatu waliona wasichokitegemea
Travis amekosa adabu kumpeleka Veronica nyumbani anakoishi na mke wake.Sky Eclat uzinzi ni mtamu lakini gharama yake ni kubwa sana, ona uzinzi unavyoenda ku spoil amani, furaha, Upendo na raha za familia. Shetani ana akili sana mweee, mbona anatuweza?
Ngoswe aliharibu nyaraka za sensa Kisa, mbunye ya Mazoea Ngengemkeni Mitomingi
Duh...... Ngoja niwatafute mabinti waliowahi kufanya KAZI kwenye hiyo nyumba. Maana hamnaga hausigeli mgumba, wote ukichapa tu kimekatikia, subiri mtoto.Kwana cha kujiuliza kwanini hataki kuweka house girl nyumbani?
Sio yeye, unajua shetani hakai kwenye ubongo, wala kwenye moyo, shetani wa ngono anakaa kwenye genitals ...... akichachamaa tu, maamuzi yote hufanywa na hivyo viungo vya kuletea watoto dunianiTravis amekosa adabu kumpeleka Veronica nyumbani anakoishi na mke wake.
Kwana cha kujiuliza kwanini hataki kuweka house girl nyumbani?
Bora umejitahidi kumaliziatravis alifanya mapenzi na vero ndiyo maana akaenda kuoga ila vero ni mjinga siku ya kwanza tu unakubali kuingia nyumbani kwa mtu eti tour si angekupeleka makumbusho ya taifa..
travis ni msahamba domozege anatumia alichonacho kumteka msichana ...
mke wa travis alilia sana na hakuamiani anachokiona
mke wa travis atakuwa kwa sasa yupo kwa mama yake huku travis akiomba warudiane
Anajua vuzuri viatu alivyovaa vinamuumiza vipi na amebuni style ya kuvitembelea.nina rafiki yangu wa kike toka ameolewa hajaweka h/girl huwa na hao h/b tu ukimwuliza anakwambia h/boy wanafanya shughuli zote za ndani na nje lakini yawezekana anapunguza vishawishi ndani
Mzima kabisa Mungu ni mwema hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....Nipo baba paroko mzima weye
Umetupiga PuuHabari za leo,
Hii ni stroy niliyopewa na swahiba wangu, yaliyomtokea wiki iliyopita. Majina nitakayo tumia katika story hii ni ya kufikirika.
Travis ni mwanaume wa 35-40 ameoa ana watoto watatu, wote yeye na mke wake ni waajiriwa. Travis na mke wake wanamiliki nyumba maridadi katika mitaa iliyotulia, kutokana na sababu wanazozifahamu wenyewe, wameamua hawatakuwa na dada wa kazi, wana kijana wa kazi za ndani na mlinzi wa langoni.
Watoto wote wa Travis wako shule ya msingi, mipango ni kuwa watoto wakitoka shule jioni, bibi yao mzaa mama anawachukua kwa kuwa hakai mbali na shule, anakaa nao mpaka wazazi wao wanapokuja kuwachukua.
Familia ina gari moja, usiniulize kwanini, lakini mke wa Travis anawahi kutoka kazini, hivyo anapanda mabasi mpaka kwa mama yake, huko anakaa na watoto mpaka Travis anapokwenda kuwachukua, mara nyingi mama yao anafanya homework na watoto wakimsubiri baba.
Ofisini kwa kina Travis ameajiriwa dada wa miaka 24-26, anaitwa Veronica, binti huyu katika usaili alionekana uhodari wake uliowazidi wenzake, kwakweli katika jopo la kuchuja kila mtu alimpa binti huyu marks kuanzia 90-100%. Binti huyu alikulia Gaborone pamoja na kuwa ni mtoto wa ki-Tanzania.
Vijana wengi kazini walimpenda Veronica, wenyewe watoto wa ushuani wanasema alikuwa na class. Veronica bado anaishi kwa wazazi wake, mama yake ni wale ma aunt wa mjini wale wa handbag na wallet lazima vimatch. Mama anamdrop Veronica asubuhi na kumchukua jioni anapotoka kazini.
Siku moja wakiwa wamemaliza kazi, Travis alimuona Veronica anasimamisha tax, alimuwahi na kumuuliza yaliyojiri, bi mkubwa amepatwa na nini leo haji kukuchukua, Veronica alijibu kuwa mama yake mkubwa amepata dharura na hivyo mama yake amemwambia na yeye pia akitoka kazini aende kwa mama mkubwa watakutana huko, Travis alioffer kumpeleka Veronica kwa mama yake mkubwa.
Wakiwa kwenye gari, ndipo alipogundua kuwa mama yake mkubwa Veronica haishi mbali na anapoishi yeye Travis, alimwambia Vero kuwa kama hatajali kuna document za muhimu anazihitaji nyumbani kwake, walipoingia ndani, Travis alimwambia kijana wa ndani asafishe gari, yeye aliingia ndani na mgeni.
Alimkaribisha na kumwambia kwa kuwa wanafanya kazi ofisi moja, si vibaya ampe tour ya nyumba anaoishi, cha ajabu tour hii ilianzia na kuishia kwenye en suite ambayo inatumika kama chumba cha wageni.
Mke wa Travis siku hiyo kichwa kilikuwa kinamuuma, aliamua kumpigia simu mume wake ili akawachukue mapema, simu zaidi ya kumi ziliingia kwenye voice mail, mwisho mama wa watu aliamua kuchukua tax.
Travis aliniambia wakati Veronica akiwa anaoga bafuni ndiyo anasikia sauti za watoto wake wakishindana kupanda ngazi "you can't catch me". Kushtuka ilikuwa takribani saa mbili usiku.
Nikieleza baada ya hapa kilichotokea nitakuwa ninatunga, kwani kwa maneno ya Travis yaliishia hapa aliitwa, story iliingiliwa.
Mzima kabisa Mungu ni mwema hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....
Anajua vuzuri viatu alivyovaa vinamuumiza vipi na amebuni style ya kuvitembelea.
Mengine ni siri ya ndani, unamwekea mkwara na unamuonyesha kuwa hujapenda alichofanya. Aunt mmoja aliniambia kama kila kosa litakufanya uondoke kwenu mwisho wa siku wewe na mumeo mmesahau yaliyotokea, waliokuja kwenye kikao cha usuluhishi bado wanahadithiana.lakini huyo jamaa kiazi kweli unafanyaje upuuzi home.....muulize imekuwaje baada ya kufumaniwa live au ndoa ishaparanganyika