Sasa kwani kuna ubaya gani na story ni tamu?
Hahahaaa ukirudi tena likizo nyingine utaikuta
Kila ninapopata nafasi
Baada ya kumis sana, leo usiku nitaileta hatma ya Rukia pale hotel...
Dont Miss it!... Ngoja nikamue kwnza..
Nililala..ngoja niandike
Kufuatilia hii hadith ni utumwa...
hahha unategema nn mtu anatunga hata hadith haijakamilika kashaipost sasa vipande vinavyofata mpaka aumize kchwa kutunga tena ni shiida
Subiri mwezi uishe InshAllha.. Ucjal