Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,735
- 5,492
M6Duh mkuu ni million 6 au billion 6?
M6Duh mkuu ni million 6 au billion 6?
Hao ni wanawake wanaokutana nao KFC kisha wanawaoa.Huyo mwanamke mpuuzi kama wale ambao huwa nawapondaga humu! Kuoa mwanamke ambaye hajui kutoa vyake yeye ni kupokea tu ni matatizo sana.
Mwanamke mchoyo ana roho ya kimaskini sana na mbaya ya ajabu
King JulianKuna mambo yanasikitisha sana...
Huyo Mwanamke ni wa kabila gani inawezekana Kwa 95% akawa ni mchagaJana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita.
Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani.
Nikataka kujua anaitaka ya nini?
Bila kusitasita, akanijuza kwamba anauza nyumba yake iliyopo maeneo ya Kivule ili wagawane malipo na mkewe!!
Hata mleta mada hajui kabila la huyo Mwanamke coz ni story ya kutunga tu hii.Huyo Mwanamke ni wa kabila gani inawezekana Kwa 95% akawa ni mchaga
Ni vzr watarajiwa kuelewa tafsiri halisi ya ndoa kabla hawajaingia rasmi kwenye ndoa!
Inaumiza sana mwanamke kuwa mpokeaji tuHuyo mwanamke mpuuzi kama wale ambao huwa nawapondaga humu! Kuoa mwanamke ambaye hajui kutoa vyake yeye ni kupokea tu ni matatizo sana.
Mwanamke mchoyo ana roho ya kimaskini sana na mbaya ya ajabu
Inakera mwanamke yeye kutoa vyake mchoyo ila anajifanya we mwanaume lazma uhudumie hawa ndio ukiwa na mali anakupendea mali na anaweza hata kukuua ili mali zako ziwe zake😅Inaumiza sana mwanamke kuwa mpokeaji tu
Most of women wana mentality za kishamba sana kuwa baba ndy amalize kila kitu kwenye family hata kama uwezo wa kusapoti anao it pains a lotInakera mwanamke yeye kutoa vyake mchoyo ila anajifanya we mwanaume lazma uhudumie hawa ndio ukiwa na mali anakupendea mali na anaweza hata kukuua ili mali zako ziwe zake