Inakujieni boss, inawekwa vina.Mtoa mada kuna majani yaliyopigwa marufuku unayatumia kama mboga? Mbona nime kuquote, lakini bado sioni chochote!
Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa.
Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa.
Siumeona vijana waliungana kumpindua mzee, ni kuwa hata uchawi una limit watu wakiungana against you.Sasa mimi sijaelewa kwa nini huyo mzee aliamua kuhama kijijini wakati wapinzani wake alishawamaliza tayari? Kuna kitu nimejifunza hapa.
Nitaipost tena, kuna mtu anaiongeza utamu na kuihalili mana ndiye anafahamu haya matukio kwa wingi.Kweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi?
Bwana chukuchuku kacheza na akili ya mleta maadaKweli Leo nimekutana na uchawi live. Hyo story ya huyo mzee alohama kijiji iko wapi?