Story ya Ex wake mimi za nini?

Story ya Ex wake mimi za nini?

Ni ujinga kumuongelea ex wako kwa mpenzi wako, hapo kataa kubali huyo manzi yako na ex wake wanapasha viporo sana.
 
Mwanzo mwanzo jamaa yangu alikuwa anajaribu kusimulia habari za ex wake alivyomtenda,,,yaani kuna siku ile kaanza tu'ex wangu...... nilimkata jicho kali sana tena la nyuzi 180 na sikuongea chochote,,hajawahi kugusiaa tena nadhani alielewa
Haibadili matokeo (alikuwa anagegedwa kabla yako)
 
Hapo ndipo ataelewa kuelewa

ila wanaume kueni makini sana unapo mruhusu mkeo kuchagua jina la mtoto wakiume una kuta kwanza mtoto si wako amezaa na jamaa na jamaa anampa jina la mtoto so mke anakuja na ilo jina kama pendekezo ukikubali anakuwa anazindi timiza matakwa ya mtu wake
KUMBE SASA LEO HII NAENDA KUBADILISHA JINA LA MTOTO WANGU HATA KAMA ANAMIAKA 10 CHA MSINGI NI JINA ALIPEWA NA MAMA YAKE
 
KUMBE SASA LEO HII NAENDA KUBADILISHA JINA LA MTOTO WANGU HATA KAMA ANAMIAKA 10 CHA MSINGI NI JINA ALIPEWA NA MAMA YAKE
[emoji23][emoji23] wahi mapemaaa... usikute akimcheki mwanao anamwona ex wake... au wakati wa sex unakuta anataja taja jina la mtoto kumbe ana maana ex wake.... kumbuka ex hawatongozagi bali wanapewa kiukumbusho
 
Upuuzi mtupu! Unakuta mtu anakuhuliza kwanini uliachana na jamaa(yaani x wangu)inakuhusu? Mxieeew
 
Upuuzi mtupu! Unakuta mtu anakuhuliza kwanini uliachana na jamaa(yaani x wangu)inakuhusu? Mxieeew
Amna unakuta hata hujauliza unashangaa tuu anaanza... flani alikuwa ananitoaga out kila weekend inahusu nn....

afuu lazima mtu ajue sababu ya kutemana na mtu wako ili asikosee kama jamaa... ila ilo swali ni li mara moja tuuu suo kila siku kukumbushiana ma ex
 
Back
Top Bottom