Story ya Ex wake mimi za nini?

AkiliMingi AM

Member
Jul 5, 2020
88
58
Demu wangu kila siku akija gheto anaanza kunipigia stori za Ex wake. Anaanza kuniambia kuhusu maendeleo yake mara ananiambia amenunua pikipiki mara anambie jamaa siku hizi anaingiza mpunga mwingi sasa mimi hayo yananihusu nini jaman?

Sasa jana alipo kuja nikampigia story ya Ex wangu kabla ya yeye nikamwambia ni namna gani alivyo kuwa mtaalamu wa kunipa mambo kitandani tangu aondoke hiyo jana mpaka sasa hapokei simu yangu wala hajibu text nikipiga kwa simu nyingine anapokea alafu akisikia ni mimi anakata.

sasa hapo wadau nichukue uamuzi gani?
 
Mkuu tafuta Sana pesa na kujiimarisha kwenye angle tofauti tofauti za kimaisha ,wanawake wanabadilishwa mtazamo na kitu kidogo Sana,hapo tayari kashaanza kumtamani Ex wake kwakua ameanza kupiga hatua za kimaendeleo....,#tuishi nao kwa taadhari ....
 
Mwili upo kwake lakini moyo wake upo kwa. Ex wake ... Ningelikuwa mimi ndiye wewe ningesha mpiga chini

Waweza kukuta huwa wanapasha viporo kimya kimya
Mkuu jamaa Wala asimpige chini Ila abadilishe mode tuu yan asimchukulie km mpenzi ,amchukulie km demu wa kupiga tuu, Yan haiwezekani, apoteze Muda,Somo na faida kwa wakati mmoja hiyo ni hasara kubwa Sana kwake
 
Back
Top Bottom