Story ya Ex wake mimi za nini?

Story ya Ex wake mimi za nini?

Mkuu jamaa Wala asimpige chini Ila abadilishe mode tuu yan asimchukulie km mpenzi ,amchukulie km demu wa kupiga tuu, Yan haiwezekani, apoteze Muda,Somo na faida kwa wakati mmoja hiyo ni hasara kubwa Sana kwake
Ndio kumpiga chini kwenyewe huko ...kwamba anamuondoa katika nafasi ya umhimu kisha anamgeuza kuwa demu wa kuzugia
 
Ndio kumpiga chini kwenyewe huko ...kwamba anamuondoa katika nafasi ya umhimu kisha anamgeuza kuwa demu wa kuzugia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakubali
 
Atajakuambia mkizaa mumuite mwanenu jina La x wake
Hapo ndipo ataelewa kuelewa

ila wanaume kueni makini sana unapo mruhusu mkeo kuchagua jina la mtoto wakiume una kuta kwanza mtoto si wako amezaa na jamaa na jamaa anampa jina la mtoto so mke anakuja na ilo jina kama pendekezo ukikubali anakuwa anazindi timiza matakwa ya mtu wake
 
Mwanzo mwanzo jamaa yangu alikuwa anajaribu kusimulia habari za ex wake alivyomtenda,,,yaani kuna siku ile kaanza tu'ex wangu...... nilimkata jicho kali sana tena la nyuzi 180 na sikuongea chochote,,hajawahi kugusiaa tena nadhani alielewa
Asa apo inabidi upat watunwa uhakika kama
 
Matusi ya wadau humu...daah x anatabu huyo

Ila pia x nae ntu jameni.
 
Matusi ya wadau humu...daah x anatabu huyo

Ila pia x nae ntu jameni.
ndio ni mtuu ila wakati wake unakua umeisha na na dm anatakiwa amsahau... jiulize ww uko na mtu anakueleza mambo ya mtu wake itaumaje iyoo
 
Mkuu tafuta Sana pesa na kujiimarisha kwenye angle tofauti tofauti za kimaisha ,wanawake wanabadilishwa mtazamo na kitu kidogo Sana,hapo tayari kashaanza kumtamani Ex wake kwakua ameanza kupiga hatua za kimaendeleo....,#tuishi nao kwa taadhari ....
imekaa kizazi sana
 
Mwanzo mwanzo jamaa yangu alikuwa anajaribu kusimulia habari za ex wake alivyomtenda,,,yaani kuna siku ile kaanza tu'ex wangu...... nilimkata jicho kali sana tena la nyuzi 180 na sikuongea chochote,,hajawahi kugusiaa tena nadhani alielewa
Tutakuwa tunaongelea yz peke yake🤔🤔
 
Back
Top Bottom