Mr Acky
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 234
- 313
- Thread starter
- #61
The Hidden Truth ( Ukweli uliofichika)
Nani Anahusika?
Mtunzi: Akida Siri Rambao
Contact: 0658328596
Email akidasiri@gmail.com
MSIMU WA PILI
SEHEMU 5 E : PENZI
Tuendeleeee...
...nimefurahi kukufahamu Shalon” kwa furaha aliongea Karimu “Mi pia nimefurahi kukutana nanyi nyote mkiwa wazima, mnisamee tu kwa kuwapotezea muda wenu” aliongea kwa ibu Shalon akiwa na maandalizi ya kuondoka “Wala usiwaze kuhusu hilo hakuna lililo haribika mbona” Karimu aliongea tena huku akitabasamu, “Haya naomba ruhusa niwaache tutatafuta siku nyingine tutaongea mengi zaidi” Shalon alikusanya vilivyo vyake na kusimama “In Shaa Allah” Karimu alijibu kisha yeye pamoja na Salimu walifata kunyanyuka kwa ajiri ya kutoka eneo hilo.
Kigogo Road, Kinondoni-Dar es Salam
Ndani ya daladala itokayo Kariakoo hadi Ubungo, Karimu kama kawaida akaaanza kuzitoa sifa kwa namna alivyomuona Shalon, katika mazungumzo ya hapa na pale Salimu akagutuka kuwa kuna ujumbe uliingia katika simu yake na wala hakutazama ni wa nani. Aka simamisha mwendo na kuweka mizigo ardhini akatoa simu na kuuufnugua ujumbe huo.
Baada ya ya kuusoma alitoa mguno huo mpaka Karimu akageuka kumtazama. “Vipi kulikoni ndugu?” safari hii akasimama akimtazama Salimu. “Shalon muda ule tunaongea pale, si alinitumia meseji bwana ndo nimekumbuka muda huu saa zile nilisikia lakini nikapotezea” Salimu alibaki anajikuna kichwa akaamua kuirudisha mfuko wa nyuma na mwendo ukaanza tena. “Anasemaje kaka hujaniambia bado” Karimu alivunja ukimya “ Acha tu sijui siku hizi wanawake wanatoa wapi ujasiri wa kutongoza wanaume” aliongea Salimu akionesha kutokupendezwa “Ehhh sijasikia vizuri au inamaana Shalon amekutongoza… au sijaelewa?” aliongea Karimu kwa sauti ya kunong’ona. “Shalon ananitaka ananipenda sana tu ndivyo alivyo niambia tena amesema anaomba asikatishwe kunipenda” aliongea Salimu kwa sauti ya Kunog’ona “Duhh kaka dodo hilo katika msufi mzee usilikalie kimya sasa”. Karimu aliongea akisisitiza kwa kumpiga piga pajani.
Ukonga Road, Ilala-Dar es Salam
‘Yani likizo yangu imezaa matunda nina bahati sana sikutegemea kama nitakuja kukutana na kijana yule katika maisha yangu huu ni mwanzo mzuri kwangu’, Shalon alijiwazia huku uso ukiwa kwenye kioo akitazama nje. ‘I need a man like him’ alijisemea nafsini.
Mara akiwa katikati ya mawazo ya furaha sura ikaingiwa na mashaka alionekana kukumbuka kitu ambacho kwa kasi ya ajabu kilianza kuififisha furaha yake mfano wa matone ya damu yanapo ingia katika glass ya maji. “Ohh comon what this? Ohh shit” alijikuta akijisemea peke yake kwa sauti ndogo ya kunong’oneza na kisha akajishika kichwa akijutia jambo. ‘Inamaana nitakuwa nimeharibu…ohh nimejiharibu’ Shalon alijikuta akijishika kichwa kwa mikono yote miwili huku akiwa katika siti ya nyuma katika Taxi aliyokuwemo.
Mara alishtushwa na sauti ya dereva huyo “Binti tayari tumefika” aliongea tax drever “Ohh asante alifungua pochi yake na kutoa noti za elfu kumi kumi takribani tatu chap chap na kumpatia dereva ambaye alizipokea akiwa katika siti yake na kuonekana kama mtu aliyepatwa na mshangao sana baada ya kuzipokea akizitazama mdomo kauachama kisha Shalon huyo akafungua mlango na kutoka. “Binti samahani” Haraka Dereva akatoka garini huku akiwa ameshikilia note za elfu kumi kumi mbili, wakati huo Shalon alikuwa akitembea taratibu akielekea katika lango la Restaurant hiyo huku akiwa bize na simu akiandika andika mara akashtuka alipo shikwa bega. “Samahani umenizidishia pesa binti…makubaliano yetu yalikuwa ni elfu kumi na sio elfu thelathini, shikaa” Dereva akaunyoosha mkono wake wa kuume ukiwa na pesa akizielekeza kuzirudisha kwa Shalon. “Oghh…” Shalon aligutuka na kujishika kichwa kwa mkono wake mmoja mmoja ukiwa umeshikilia simu hand bag ikining’inia kwapani kuonesha alikuwa amevurugwa na mambo Fulani, kisha akatabasamu huku akimtazama “…asante usijali, chukua tu tumia, ni zako”, Shalon aliongea na kulitoa tabasamu. “Kweli! asante sana Binti” Dereva akiwa na macho yenye furaha alitoa shukran zake akizishikilia pesa kwa mikono miwili. “Unaweza nipatia namba zako na jina lako nitakuwa nakutumia mara kwa mara umekuwa muaminifu sana” Shalon aliongea huku akiendeleza tabasamu lake “Ohh asante sana binti niite Mzee Kidevu au kidevu inatosha… namba zangu ni 065832…” alimalizia Dereva huyo na Shalon naye akimalizia kusave namba hizo katika simu yake ya mkononi kisha wakaagana na Dereva akaondoka zake akiwa ni mwenye furaha sana na kumuacha Shalon na hamsini zake.
Zaina Resataurant, Ukonga – Dar es Salam
Shalon akasogea zaidi na kuingia katika Restaurant. “Shalon mbona umechelewa sana jamani unajua Mzee amekutafuta hujapokea kanipigia simu hapa nikamwambia umeenda Toilet aisee siku moja nitashtukiwa uongo huuu itanikosti sana” bwana mmoja alimvamia Shalon kwa lawama pindi tu alipoingia. Shalon alionekana kumtazama tu bwana huyo akioneakana kuchoka malalamiko hayo. “James sikia sipendi kubanwa banwa we si nakulipa na baba anakulipa mshahara basi endelea kutulia mi nitampigia baba nikitaka sawa”. Shalon aliongea na kusogea pahala inapo tolewa huduma ya chakula aliongea vitu Fulani na muhudumu wa hapo kisha akapatiwa mfuko Fulani huyo akarudi sehemu alipo kuwa amesimama bwana James akamtizama kwa muda kisha akaongea “Twende zetu home” Shalon aliongea na kuongoza nje na kumuacha James akitingisha kichwa kwa masikitiko kisha huyo akatoka kumfata.
Bunju, Kinondini -Dar es Salam
Nyakati za usiku, Shalon akiwa yumo chumbani mwake kajikalia kitandani mkononi ameshikilia simu yake akiperuzi katika baadhi ya mitandao ya kijamiii kichovu chovu alingia Facebook akatoka akaingia twiter mwisho akamalizia Instragram lakini hakufurahia kama siku zingine inavyokuwa. Shalon aliitambua hali yake haikuwa sawa na alitambua kinachomfanya awe hivyo suluhisho alilo liona ni kumpigia simu Salimu na kuongea naye. Maamuzi hayo yalionekana kupigwa vita na akili yake. Sasa ikawa vuta nikuvute akitaka kutuma meseji anaona sivyo akiona kupiga simu ndiko sahihi pia nafsi inakataa. Alipo kuja tahamaki tayari ilikuwa ni saa tatu na robo usiku hiyo saa aliisoma kupitia simu yake ambayo alikuwa ameishikilia mikononi wakati huo wote huku amevalia kigauni cheupe chepesi chenye kuonesha maumbile yake ya ajabu aliyoumbwa nayo, hakika alikuwa ni mrembo. Shalon akakitazama chumba chake chenye hadhi kubwa kutokana na kupambwa vitu vya thamani kubwa sana, alijiona ana kila kitu katika maisha lakini alipungukiwa mtu anaye mpenda sana ndiye aliye kosekana pahala hapo. Shalon aktoka kitandani na kusimama akaiweka simu yake katika kitanda kisha kavua kigauni chake cheupe alichokuwa amekivaa kwa mataharisho ya kulala. Shalon akaanza kupiga hatua fupi fupi akisogelea kabati kubwa lililo jengewa kwa ustadi katka ukuta lililo na kioo kikubwa kinacho weza muonesha mtu kuanzia chini mpaka juu. Shalon akasimama na kuanza kukitazama kifua chake kilicho jaa vizuri na kuziacha chuchu zake zilizo simama kupendeza akaipandisha mikono yake kukagua kifua chake hicho kisha akatabasamu ‘Shalon your so beutyfull’ alijiongelea nafsini aliyatoa macho yake katika kifua na kuja katika maeneo ya kiunoni ambapo kulikuwa na kitovu kilicho tumbukia na cheni ya rangi ya dhahabu ikiwa imepita kiunoni. Shalon alikitazama kiuno chake chembamba akakishika kwa mikono yake na kujigeuza geuza akijaribu kutazama vizuri hips na miguu yake iliyo nona vizuri pamoja na shemu zake za nyuma. ‘Sizani kama na weza kuonekana si vutii mbele ya Salimu nampenda sana’ aliongea tena nafsini kisha akageuka kurudi pahala peney kitanda akapanda kitandani kisha akajilaza huku akiwa ni mwenye ujasiri wa kutosha na sio uwoga tena kama awali.
ITAENDELEA....