CHAPTER 3
A. CHANGUDOA BY NIGHT, STUDENT BY DAY
siku ya spa ikafika warembo wakakutana spa oysterbay kama kawa
Wote walikuwepo
Kelis alikuwepo
Irene alikuwepo
Khadija alikuwepi
Hi Hoe alikuwepo
Mina alikuwepo
Amber alikuwepo
Tamia alikuwepo
Wakatambulishana pale wakaingia kwenye spa
Wanafunzi wa 3 wakaingia kufanya kazi kama walivyotumwa na Tamia
Wakaanza maongezi ya uchokozi
Kelis: Amber na Mina nyie mmeolewa sio vipi ndoa zipoje nawaonea raha kweli waume zenu watakuwa na raha na bahati kuwapata wadada kama nyie
Mina: kwakweli me sijawahi ku complain na sande wangu, anaitwa Sande jaman, ananipenda to the fullest, naweza nikarudi job nimechooooka sana nikakuta ameshapika, ameshafanya homework na watoto ameshawalisha wameshalala namkuta amenisubiria anaangalia tv uchi wa mnyama
Hi Hoe: aisee so umeolewa na house boy? Huyp house boy lazima atakuwa mbovu kitandani
Mina: mume wangu noma kitandani ujue! Hakuna mfano wake
Hi hoe: utajuaje wakati maisha yako yote upo na mwanaume mmoja tu!
Mina: kimmya!
Hi hoe: unaona! Hata wewe haujui unachooongea, jaribu flavor zingine ndip uje kutupa
Movie ya Mina na Sande otherwise you are incompitent kabisaa
Wote wakacheka kasoro Mina
Irene: Amber vipi ndoa yako?!
Mambo yanaenda vizuri
Amber: siwezi kulalamika, namshukuru Mungu
Irene: unaushujaa wa kuongea kama Mina au wewe unajua kuwa anakitembeza nje?!
Amber: atembeee asitembeee hainihusu ilimradi watoto wanasomeshwa tunakula, tunalala, tunaona mwaka, tunalipa kodi za nyumba, serikali, inatoshaaa
Irene: that's nice vipi Tamia
Mina: kwani Tamia bado ameolewa jaman mbona me niliskia wameshaachana na mumewe?!
Tamia: nani amekwambia nimeachana na mume wangu?!
Kelis & Irene: kwani Madam Tammy wewe ni mke wa mtu?
Tamia: yes nimeolewa ila kwa sasa hivi tupo separated, ila soon narudiana nae
Mina: how soon?!
Tamia: like Jesus is coming back soon?! Kama unaielewa maana ya hii statement then jibu utakuwa nalo miss NMB
Wote wakacheka kasoro Mina
Hi Hoe: So khadija, wewe umeolewa au?!
Khadija: hapana bado nasoma udsm mwaka wa mwisho sina hata bwana nipo nipo tu
Hi hoe: ina maana hauna hata bwana anaekuhonga honga au anakupimp kidogo
Khadija: akawa anaona aibu kuongea
Tamia: ongera tu mami sisi tupo hapa kwa ajili ya kusaidiana, ukweli sikuzote ni dawa sema tu ukweli hatutakuchukia pia sio lazima kutaja jina la huyo bwana wako
Khadija: ok Madam
Amber: hili jina la madam limeanza lini lakini Tamia, mbona siwaelewi lakini?!
Tamia: long story nitawaambia next time msijali
Khadija: well to be honest sipo kwenye serious relationship lakini kuna wanaume 2 wananitunza mmoja mwislam mmoja mkristo na wote wameoa zao na familia zao so sina kusumbuliwa sanaa nao
Amber: kwahiyo Khadija wewe ni side chic?! Au mchepuko?!
Khadija: hapana me wale ni wapenzi wangu
Amber: ndio maanake wewe unatembea na waume za watu ina maana wewe unakoelekea ni malaya, ungekuwa na miaka 30 ningekuita malaya maana ni mtu mzima kabisa unajua jema na baya lakini kwa miaka ya 29 kushuka siwezi kukuita malaya nakuita msaada tutani au mchepuko hayo yanakutosha.
Hi Hoe: jamani embu msiwafanye watoto wajiskie vibaya bwana waacheni bado wadogo
Mina: wadogo hawa wanamaliza chuo mwaka wa 3 wameshakalia madushe kibao unayaita madogo?! Udogo gani huo wanachezea madushe marefu kama mnara?! Nyie kama mnatembea na waume zawatu acheni maramoja mtafute saizi zenu maana ni laana hiyo na huko mnakoelekea ni kufunja ndoa za watu na ni dhambi kubwa sana Mungu hapendi
Tamia: kwahiyo wewe Mina hautembeagi na haujawahi kutembea na waume za watu
Mina: ndio mimi nipo msafi kabisa
Amber akacheka kwa kejeli Mina akamuangalia
Hi hoe: me nadhani Mina kuna kitu anatuficha na mie nitaongea mwishoni
Kelis: mimi pia natembea na wanaume 3 mmoja tu ndo mume wa mtu wengine wote hawajaoa
Lakini wote walinifuata me sikuwafuata wenyewe walijileta wakanifukuzia weee
Wakajikomba wee kama huyo mmoja ana hela sana akajileta wee kila akija anakuja na hela nyingi me naachaje kupokea nikapokea nikaweka kwenye bank akaunt zangu,
Pia wenyewe ndo wanaanza kutueleza matatizo yenu nyie wake zao, kuwa ni wavivu na wabovu kitandani
Akiwa na hamu mnawakataa mwanamke tumeumbwa kustarehesha wanaume sasa kama unataka mumeo atumie sabubi awe hanisi basi sawa ila kwa wanaume wanaojipenda wanaona watafute msaada tutani kwa akina sisi
Na mshukuru Michepuko kama sisi maana hatuwafuati majumbani kwenu kuwa stalk kuwafanyia vurugu sisi tupo kivyetuu na mambo yeeeetu
Amber: lakini nyie side chic mnatusema vbaya bure tu, hamjui ina cost bei gani kuwa main chic au mke
Kuna ku deal na watoto, homeworks, craps na kesi za shuleni na maendeleo ya watoto, usafi wa nyumba na nyumba Nzima kwa ujumla, kupika, kufua, watoto wakiumwa, wakipigana shule, wakifeli, wakifaulu, bado mume nae anataka mrejesho, kama umeajiriwa kama Mina hapo ndo usiseme bank onahitaji full attention, bado kuna house girl akuzingue, weee unachokaaaje me nadhani side chic hawapo fair na haki, wapo ki materialistix zaidi mwanaume akienda anampa mechi anapewa hela mwanaume anaondoka
Mimi na deal na mambo mengi so kwanini mtu msichana akubali kuwa side chic na kuridhika?! Na kwanini side chic weeeeengi hawapendi kuzaa watoto
Mina: tatizo la side chic wengi ni vitoto vya miaka 19 -29 havijui dunia na maisha yalivyo, wanaamini kila kitu mwanaume akiongea, nitakupa hiki na kile na hiki wanaamaini tu
Tamia: ila wooote hapa tulipoolewa tulishakuwaga side chic kabla ya kuolewa, uongp au sio uongo?! kwa kujua au kutokujua kabla hayujawa main chic wote hapa tulikuwa side chic kabla ya kujua jema na baya so tusiwalau madogo kabisaaa
Mina:
Me nakumbukaga enzi zengu, nilibahatika kuwa accidental side chic;
Wenzake wanashangaa ndio nini?!
Mina: nilianza mahusiano na kijana m1,anaitwa Patric, mkristo,
Tulikuwa tuna textiana whatsapp na sms za kawaida na simu alikuwa anapiga mchana tu ikifika saa 4 usiku hapokei simu wala hajibu text mpaka asbh saa 1 ndio anakupigia anakwambia alilala mapema.
Nilipokuja kumshika ni weekend bwana, siku za weekend alikuwa anazima simu, inazimwa ijumaa inafunguliwa j3 asbh, hapo ndipo nilipojua kuwa huyu Patric ameoa... nikimwuliza we weekend yote ulizima simu ulikuwa wapi?! Anasema simu battery iliharibika battery ya simu iliungua, kwa wiki ya 1 mtu unaweza ukasema sawa ila ikiwa kila mwezi unajua tu kuwa huyu mtu anamke ndani na hataki ujue. Nikamkimbia.
Nikaja nikapataga mwengine akawa kiiila siku akipiga simu au kuchat whatsapp ananipa physical compliments,
kwa mfano tumeonana leo kesho asbh anaanza ku demand nitumie picha zako nikuone, haya unamtumia picha yako mwenyewe umepozi kwenye maua na nini enzi zetu picha unapiga kwenye maua ya mgomba ahahahaa, unamtumia anakwambia hapana nitumie ukiwa umelala na chupi au nitumie ukiwa unaoga upo mtupu hapo unajua hapa hamna kitu huyu bwege ameshakufanya side chic, basi me nachukua picha za wanawake wa tangi yangu google nawakata vichwa namtumia, akawa anaamini eh baby we wa ukweli kumbe mmarekani sijui wa wapi nimemgongea google nikamrushia, shenzi kabisa.
Au akikupigia simu anakwambia maziwa yako mazuuri jaman umeumbika mara
Una umbo zuuuri jamani una matako makuuubwa, nawasiwasi na nyonga yako itakuwaje yani maongezi yake machafu machafuuu ujue huyo ni mshenzi tu ameshakufanya side chic sikunyingiii bila wewe kujijua. Nikampotezea. Mpaka kuja kumpata Sande nilishampima sana tu ndio nikakubali kuolewa nae!
Tamia: ni kweli kabisa, kwa hawa wanaume ni lazima ujiongeze, mimi nakumbuka nilivyokuwa umri wenu nilipataga bwana kumbe kaoa.
Akanifanya side chic / mchepuko ila huyu alikuwa jemedari gadame.
Mfano tukipanga kwenda out labda kesho, for a dinner anakwambia sawa kesho ikafika ukapata dharura ukamweleza mapema kuwa umepata na dharura hautaweza kwenda dinner, yeye wala hawi dissapointed, anakujibu poa hamna neno, kirahisi rahisi tu haumiii hajaaaalii, ujue hapo wewe sio namba1 wake ni namba 2
Au mwengine unamwambia twende movies anakwambia hapana me sitaweza kwenda nina hiki na kile kila siku excuses ujue huyo ana mke ndani au ana Girl friend wake, wewe ni msaada tutani kwake
Mwanaume yeyote ambae wewe ni no1 wake wewe ni main chic lazima atataka aku show off kwa marafkizake, lazima uki cancel appointment ataumia sana atataka kujua kwanini imekuwaje you know unaona kabisa jamaa anaumia
Wanaume wanapenda sana ku brand magari yao kuwa huyu ndip mrs, mpango mzima, VX V8 wangu, lakini kama hata mkikutana na marafiki wa mwanaume hakutambulishi wewe ni nani my dias ujue wewe ni msaada tutani tuu hauna umuhimu kwa huyo bwana. So either mpige pesa zake umkimbie au mkimbie wala usile hata 100 yake. Wa nini looser mkubwa anataka free papuchi wai, ndio ivo wadogozangu wengine huwa wana act anakujali na show kibao kumbe wewe msaada tutani tu hauna lolote akishakutumia wee akachoka anakubwaga humwoni tena. So akili vichwani mwenu.
Hi Hoe: mimi nakumbukaga nilikuwaga pia accidental side chic bila kujua me najua yule bwana tumeivana kumbe alikuwa na main chic wake
Wiki ya kwanza tukaenda vizuuuri sana, wiki ya pili akawa kama anataka kupotea potea wiki ya tatu akawa anapotea anarudi anapotea anarudi
Wiki ya 4 akapoteaa akarudi baada ya wiki 3 nikamwuliza shida ikowapi akasema ex GF wangu amerudi anataka turudiane na mimi hata sijui nafanyaje nimeshindwa kuamua naona tu nirudiane nae maana sijui cha kufanya na hapa nipo njiani naenda kuonana na wazazi wake
Niliboreka nakwambia yani basi nikajua tu alikuwa anataka kunila akimbie basi nikabakia single lakini nilijifunza kuwa shetani ni yule yule lakini panya ruti huwa zinatofautiana sana tu
Mwanaume anaekupenda anaetaka uwe mtu wake au mkewe baadae, hatokuwa confused na wewe kabisaa hata aje mama ex gf wake atakuwa anajua wewe ndo kila kitu na ameamua kuwa na wewe mazima mazima
Amber: ndio maana tunawaambia mtafute wanaume ambao hawajaoa wala hawapo kwenye mahusiano na watu wengine, la sivyo maisha yenu mtaishia kuwa malaya wa kukubuhu, hamtataka ndoa kwasababu kuna mtu anawaweka sawa pembeni.
Ndio sisi mtuite vyoyote mnavyotaka, holy ex side chic, yes we are so stop judging get your own man, kwasababu mwisho wa siku mke always wins, so if you like it,
Wenzake wakamalizia put the ring on it!
Wakabaki wanacheka hata wale wanaowahudumia wakaanza kucheka
Khadija: i reeealy like Mina kwakweli, mina me na wewe twaweza kuwa god sisters, naja kwako kwa msaada na ushauri na kila kitu, i hope upo open mindend kama Tamia na Hi hoe,
Mina: karibu God sister, wala usijali tutawezana tu, wakapinga kwa kidole cha mwisho kuanzia leo mimi na Mina/Khadija ni ma god sisters na tunaapa hapa hapa chochote kisitutenganishe labda Mungu na Mauti, wenzao wakaitikia Amen
Tamia na Hi hoe wakaangaliana wakaacha kucheka kimoyomoyo,
Wacha movie liendelee ijumaa saa 7 mchana