Cjui director amepatwa na nn maana sasa kimya kirefu kweliKila mda nachungulia km kaweka lkn mhhhhhh...nzi chuma yupo studio nn
Lkn katoa mawasiliano hapo.... Lbd ndo tumfuate kwa kupata muendelezo...mi nmfata na cheti changu aseeCjui director amepatwa na nn maana sasa kimya kirefu kweli
Kuna wengine sio makusudi yao ila hawajui namna ya kupost bila ku quoteNaboreka sana mtu kuquote story yote kwan ambaye ajasoma nan ushamba huo
Kweli Mkuu amewachosha watu ila sio mbaya hii stori naipata vizuri kabsaKuna haja mjipange Kabla ujaanzisha simulizi ili usiwachoshe wa somaji wako
