LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 337
- 656
Hii picha inaonesha wewe ni jasiri sana you have started well. Una pa kulala na kuamka sio homeless.My journey starts right here! Never be afraid to start. View attachment 1114352
Wrote"=na wewe ukiwrmo?Mkuu Kama hii picha ni yako kweli basi umejitahidi sana na naamini utafakiwa haraka sana..
Maana humu jf watu wote asilimia kubwa hujivika maisha ya kitajiri, wote wana magari ya kifahari wanamajumba ya kifahari n.k
Wrote"=na wewe ukiwrmo?
Mkuu Kama hii picha ni yako kweli basi umejitahidi sana na naamini utafakiwa haraka sana..
Maana humu jf watu wote asilimia kubwa hujivika maisha ya kitajiri, wote wana magari ya kifahari wanamajumba ya kifahari n.k
Hayo ndio matatzo ya kuazima simu Dada yako wakat yeye yuko kanisani na mume wake.. Lazma uchemke kuitumia tuWrote"=na wewe ukiwrmo?
Kwa nini umetumensheni sisi
Ndio wanawake pekee ninaowafahamu humuKwa nini umetumensheni sisi
Out of Jf?Ndio wanawake pekee ninaowafahamu humu
Sahihi kabisa.Usisahau kununua Chandarua mkuu, unapoanza kupambana na maisha hutakiwi kuumwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinafanana Na room ya nandy Na billnas
Nimeanza kama wewe na jiko maarufu stovu lililokuwa linatumia mafuta ya taaMy journey starts right here! Never be afraid to start. View attachment 1114352
out of JF wapo shazi!Out of Jf?
Kila mtu ana mke mzuri pia umesahau na hakuna anaeishi mbagala
Usiogope,simamia unachokiamini,wengi wamepitia huko,leo hii wana majumba na magari,cha muhimu ni kutokukata tamaa.Ila nimegundua wewe ni mjanja flani,maana viatu na nguo za kutosha,hivyo vitakua vinakusaidia kuficha uhalisia wa maisha yako,bigup...My journey starts right here! Never be afraid to start. View attachment 1114352