Nibadilike?????? Thubutuuuuuuuuu labda sio kwa Smart911.. Vile nampenda huyu mwanaume wee acha tu. Kwa smart papa akasome tena awali.... Smart ninambaaaaaaaaa ledada mwenyewe ashamuelewa Kitambooo aliomba walau 3sum nani akubali sasa???
Nikajiuliza Baby mahondaw angejibuje tofauti na hivi, sikupata jawabu! Nishaujua mwelekeo. Nimefurahi 🙂. I've never been happy like this before. Watakaonuna wanune tu 😉
c.c. Honey Money Penny Smart911
Hahahahaha wewe na Money Penny wako hii mission failed.. nimewakushtukia ukute ashakukatia mkwanja huyu doh ndomana papaa kasema anafuja fuja hela kumbe .. hio baby vepee??
cc Smart911
Khakha mi babe ake na Smart911 bana Penny mwenyewe analijua hilo.. ....Mara paaap, tamko rasmi kutoka kwa Baby mahondaw kuunga mkono juhudi za Honey Money Penny kwa 50thebe.
[HASHTAG]#MapichaPichaHayajawahiKumuachaMtuSalama[/HASHTAG]. 😎
c.c. Smart911
Karibu sanaAsante maana nilipitwa. Stori muruaaaa naendelea kuipitia!
Hahaha me staki tena bwana jf kumbe we yanki a.k.a Ben 10
Aku staki mambo ya zari na mondi
Ua jeusi vepe
HahahaNashukuru nimekula japo kiporwa chajana ila leo nataka nile chamoto nishtue
Huwezi muuza mama unaanza vipi kwanza,Namwuuzaje mama yangu mzazi kwa mfano?
Daa haya pole sana na kuuguza mamitoLeo sileti stori
Nilikuwa namweka sawa Afande Tukinao
Am tired Kesho alfajiri naenda kwa hospital
Am sorry all
Asante bossDaa haya pole sana na kuuguza mamito
PoaAsante boss
Leo usikonde bossdaahmoney sio vzr bhn
Asante hunPole hunie