Poa twin
Duh hii ramli ina kaaukweli Fulani ila kwa jina la yesu naikataa nakuvunja nguvu zote juu yangu
Duh hii ramli ina kaaukweli Fulani ila kwa jina la yesu naikataa nakuvunja nguvu zote juu yangu
Huwez kuukataa ukweli.ukweli utabaki kuwa ukweli.pole na yesu wako
Pole kwako wewe usiyeijua thamani ya Yesu na ukuu wake
Pole kwako wewe usiyeijua thamani ya Yesu na ukuu wake
Najua ukuu wake lakini sijawahi kusikia akibadili wakati uliopita.kama una uthibitisho naomba utoe nami nikiri ukuu wake
Duh! Walau sasa namshukuru Mungu nimeelewa kumbe hujui wala hujaelewa nachokipinga ungekuwa mtu mwerevu ungeniuliza mezaliwa trh ngapi na hayo yalionenwa kwangu yanahusu maisha yangu yalopita au hadi yajayo?? Bro usiwe unakurupuka kupinga usiyoyajua unajishushia heshima.
Nadhani hujaelewa nilichoandika,mi nimeongelea wakati uliopita na kama yesu anaweza kubadili wakati uliopita sijaongelea wakati ujao