Stori za Waafrika

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
1,092
804
Wakuu leo tuangalie story za Waafrika. Kuna baadhi ya pan africanist (wakombozi wa Afrika) wanasema africa ilikua na nguvu kubwa sana katika mambo mengi, hasa katika kivita na kiimani, zamani hata kabla wazungu hawajaja.

Na inasemekana misri aliishi muafrika (melanated beings), ambaye ndo busara, hekima na sayansi zote zilitokea pale na kunufaisha dunia mpaka sasa (ushahidi upo kwa wale pro European).

Pia hata ukiangalia genetically wati weusi tumeumbwa tofauti sana na huo utofauti ndo unafanya wawe bora katika kila kitu, michezo, kuimba na ubunifu.

Ok naamini kuna story inaweza kua imejificha au ilifichwa kimakusudi na wakoloni kuhusu ukweli wetu.

Lakini swali la msingi ni je ilikuaje tukashindwa kuji linda. Najua tuko na nguvu (powerful) na tuna akili, hii iko wazi. Lakini ilikuaje hii story ya mpaka kutawaliwa ikawa ndo hitimisho. Kuna kitu gani kilitokea hapa katikati? Kuna mwenye story inayo explain hii idea.

Note: huu uzi ni wa kujenga sio kubomoa, kwa hiyo ukichangia jaribu kua positive kwa Waafrika. Haturuhusu kujidharau au kujitukana.
 
Waafrika tuko nyuma Kwa kila jambo tuukubali ukweli itatusaidia kutoka hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom