Stori yangu kwa ufupi

Stori yangu kwa ufupi

Unajua kaka ngoja nikwambie kitu. Umenikumbusha machungu flani. Niliwah kumpenda binti flan kama ulivyo mpenda ww huyo wako, lakin baadae kukaibuka conflict kati ya jamaa mmoja mwenye mali alikuwa akimfukuzia wkt nipo nae. Bila kujua lolote kumbe alimkubalia, na mama yake alifaham hilo.
Alipata ujauzito, na yeye baada ya kujua hilo, aliforce tuachane , ili afiche aib akatengeneza kesi kuwa eti mm simpendi. Kwao wakanichukia.. japo niliumia vibaya mno.. akaolewa.
Ilibid niendelee na maisha, japo yaliniwia vigumu sana.
Miaka imesogea sasa nikakutana na decent woman, lakin what so special about her ni kwamba yeye ni best version ya wanawake niliowah kukutana nao. Ana sifa ya wife material. Natarajia kuoa mwakani.

Sometimes Mungu anakuondoa mahali, japokuwa ni kwa maumivi labda kwa damu, lakin ni kwa nia njema ili ukutane na alie kupangia.
Kweli kabisa, makusudi ya Mungu ni ya ajabu sana.
 
Itakua bora, wape/tupe nafasi tuvute/wavute pumzi siku ya leo.[emoji18]

Maana hua unamsifia kiongozi yoyote, halafu hazipiti dakika tunashangaa unampiga bonge la NGWARA, mtu anaangukia kidevu ma*ae.[emoji47]

Maana hata kama yupo OFFLINE mwezi mzima JF. Ukimuweka kikaangoni huko alipo, hua kiroho lazima kimshtuke kidogo "PAAP". Anajua leo yupo kwenye FRYING PAN huku JF.[emoji57]

Ya kweli haya au? Mbona unanipa Sifa / Kongole ambazo naona sina na hazinistahili Mkuu? au ' unanitengeneza / unanichota ' tu Kisaikolojia?
 
Pole kwa yaliyokukuta na hongera kwa kupata kilicho chema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom