Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,819
- 56,295
Unajua kaka ngoja nikwambie kitu. Umenikumbusha machungu flani. Niliwah kumpenda binti flan kama ulivyo mpenda ww huyo wako, lakin baadae kukaibuka conflict kati ya jamaa mmoja mwenye mali alikuwa akimfukuzia wkt nipo nae. Bila kujua lolote kumbe alimkubalia, na mama yake alifaham hilo.
Alipata ujauzito, na yeye baada ya kujua hilo, aliforce tuachane , ili afiche aib akatengeneza kesi kuwa eti mm simpendi. Kwao wakanichukia.. japo niliumia vibaya mno.. akaolewa.
Ilibid niendelee na maisha, japo yaliniwia vigumu sana.
Miaka imesogea sasa nikakutana na decent woman, lakin what so special about her ni kwamba yeye ni best version ya wanawake niliowah kukutana nao. Ana sifa ya wife material. Natarajia kuoa mwakani.
Sometimes Mungu anakuondoa mahali, japokuwa ni kwa maumivi labda kwa damu, lakin ni kwa nia njema ili ukutane na alie kupangia.

Kaka hii story imenitokea mimi mwenyewe kama ilivyo...