wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,595
- 29,523
Siku moja wanandoa wawili walikuwa wakiishi vizuri ndani ya nyumba, Na katika maisha yao waliamua kuweka msaidizi wa shamba na kwenye garden yao (house boy).
Huyu house boy alifanya kazi kwa kujituma sana na alidumu kwenye kazi yake kwa muda wa miaka 5 na kuendelea.siku moja baba mwenye nyumba katika kupiga stori na mkewe basi stori ilikuwa hivi;
Mume: Unajua mke wangu huyu kijana wa kazi anatusaidia sana inabidi na sisi tumsaidie au wewe unasemaje.
Mke: Ni kweli mume wangu tena anahitaji msaada mkubwa sana.
Mume: Sasa mke wangu unashauri tumsaidie msaada gani ambao hawezi kuja kutusahau maisha yake yote.
Mke: Kwanza mme wangu tumpeleke jando!!
Mpaka sasa ndoa inapumulia mashine.