watu8 - Nimekukubali kiongozi wangu, wapige sound yyt ile ya kizushi, mimi nakomaa nitupie mzigo wote kesho, wazingue mpk kesho!Mimi hapa ofisin watu wananifuata karibu wote hawajajua kama hii ki2 nimeitoa huku tupia mzigo niwe hero huku ila nita ku acknowledge nikimaliza..
Huwezi jua mie nahisi kuna msala ulimkuta na ndo kashinda kesi hivi baada ya kufungwa kwa muda...
weee miss neddy wewe! ntakublock (sauti ya Mkude Simba)
we nihonge hiyo hadithi kwenye pm yangu uone kama sijasambaza upendo lol
Hilo mbona jepesi miss neddy! nikurushia km msg ama attachment? kama nimemsaidia mtu kama yule ntashindwa kukurushia story?
miss neddy - usijali wangu, kesho nafanya kama ulivoagiza. ur wish, my command!hahaha kumbe u mwema kiukweli eeeeh nirushie kama hadithi kuanzia part saba mpaka mwisho itakapoishia lol
miss neddy - usijali wangu, kesho nafanya kama ulivoagiza. ur wish, my command!
kizuri kula na nduguyo!