Ndg.MWASALEMBA.
Senior Member
- Dec 18, 2013
- 141
- 280
Habari wakuu!
Aksante sana kwa taasisi zilizotoa matokeo ya tafiti zao mpaka sasa. Zimetimiza majukumu yao kwa taratibu na sheria za nchi kama inavyosema ama zitaka. Pole na hongera kwa kila pande.
Maana, kuna pande walinufaika na kuna pande wakawa wahanga! Mwisho wa siku kama TAIFA tusonge mbele kusubilia tarehe 25 tupige kura.
Lakini kuna vimaneno kwamba REDET wanakusudia kutoa matokeo ya tafiti yao trh 1 Oct kama ni kweli binafsi naona tunapalilia anguko kama TAIFA. ..kwa muda uliobaki si sawa taasisi yeyote kuja sasa na tafiti zao haijarishi itafeva upande upi, pia kisheria na kikanuni naamini si ruksa kwa siku 30 kabla ya siku ya kupiga kura kitaifa taasisi yeyote kutoa matokeo hadharani hata kama walishafanya tafiti husika hapo awali.
Hii ni kanuni tulizojiwekea coz kama ingekuwa hakuna ukomo ipo hatari ata tarehe 24 kuna watu wangekuja hadharani na matokeo ya tafiti yao ambayo ingekidhi haja na malengo yao.
Kila taasisi ikafanye kazi yake sasa, tuache vyama vya siasa vikizunguka majukwaani na mabarabarani.
Matokeo ya tafiti sasa STOOOP tusimamie kanuni tulizojiwekea wenyewe. Mimi sio mwanasheria bali naamini watakuja hapa na kufafanua vema zaidi juu ya kanuni hii ambayo inatoa katazo kwa mtafiti eote kutotoa matokeo juu ya uchaguzi mkuu siku 30 kabla ya tarehe tajwa. ..ambayo ni 25.10.2015
Aksante.