"Stop order" ya baypot

"Stop order" ya baypot

Fimbo ya Musa

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
94
Reaction score
13
Habari za jioni, jamani kwa mwenye uelewa naomba anisaidie. Nilitaka kukopa bayport na process karibia zote nikawa nimekamilisha. Wakala wa baypot akaniambia ameshatuma document zangu makao makuu ila wamemwambia atume bank statement zangu ili waendelee na process ya mkopo. Sasa napenda kujua kuwa kama nisipopeleka hiyo bank statement watanikata? Kwasababu shida yangu imeisha hivyo sina haja ya mkopo tena! Naomba mwenye uelewa anisaidie.
 
Dogo umekuja mahali sahihi. Usije ukakopa BAYPORT UTALIA. NARUDIA......USIJE UKACHUKUA MKOPO BAYPORT UTALIA. kama shida bado iko nenda benki yoyote ukachulkue mkopo.
 
Dogo umekuja mahali sahihi. Usije ukakopa BAYPORT UTALIA. NARUDIA......USIJE UKACHUKUA MKOPO BAYPORT UTALIA. kama shida bado iko nenda benki yoyote ukachulkue mkopo.

sasa document zangu zimesha fika baypot makao makuu kasoro hizo bank statement walizoomba niwatumie,je,nisipotuma watanikata? Au itakuwaje
 
Nenda kaweke zuio kwanini ukimbie wakati unahaki.
Wata kucharge tu pesa za processing .
Bora uende maana shida haina leo wala kesho,inaweza kuja tena ukakosa pa kukimbilia.
 
Back
Top Bottom