Nguli ,hivi hujui JF ni intaneshnowaizi? Ipo kila mahali.Hao nao ni member labda wabebamaboksi.Huyu mwanaume wa mbele pengine ni Masanilo. [QUOTE]
Imenifurahisha sana...
Lakini hawa wanaotukanwa kwa PM mbona hawazitoi hapa tukaziona, wanaoza nazo rohoni tu?
Journal Pape..umetukanwa na nani...Usije ukawa unaogoa kivuli chako!