Stop expecting to be treated like a queen while you are not treating him like a king....

Stop expecting to be treated like a queen while you are not treating him like a king....

haya ni maneno tu kwenye vitendo mala kibao ni 0 maana asaivi hata nyoka ana maneno mazuri hatali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Roselina mpenzi sasa kwa nini unavaa nguo iliyochanikachanika?
Huyo king wako ki ukweli kabisa hajaamua kukufanya uwe queen.
Hebu njoo kwangu nikuvishe nguo za maana sio hivyo viraka anavyovisha king wako aliechoka.

Maendeleo hayana chama
Joto!,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada umezungumza jambo la msingi sana, unamkuta mdada anataka kuhudumiwa ila yeye kuhudumia anakwambia Hujanioa mpaka unioe. Unadhani kwa namna hiyo mtaacha kutuita players?
 
nowadays sababu kufa mahusiano mengi ni ubinafsi ambao husababisha mmoja kjjisikia unyonge na kutokupendwa...but i don't think your approach will work accordingly....coz wanaume wengi hawaamini katika usawa yaani ilichotakiwa ni kama akitumia laki for you tumia 50K for him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If my man pays for lunch, I pay for dinner,
If he pays for the movie tickets, I will buy snacks. If he buys me a shoe, I'll get him a nice suit.
If he's having a rough day, I'll help him out!!. 50/50.
Stop expecting to be treated like a queen while you are not treating him like a king....

View attachment 1049667
If you understand this dear a man is a provider and a woman is a receiver this is from a bible till the real life of all the woman who were and are still get help from women are those who ended giving you trouble because you were suppose to let him to be in his position.
You must receive not give always note that one day you will regreat they are not worth it.
Let A man provide for you.
And you give him pleasure and love ,respect him and show him his incharge .
In real life no 50 /50 you are always under hin not upper him or no.
His a first and you are second .
 
Back
Top Bottom