Si kila anae vaa kanzu ni sheikh.Hichi ni kivazi tu hasa watu wazima hupendelea sana.Pia kwa kule daresalama ni fashion tu si unawaona Diamonds,lemutuz ,mwanafa na wengineo?Astaghafir [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]shehe hapo nyuma amesalimika kweli![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
allahakbarTakbiiiiiiiiiiiir
Honi ya treni pekee ndo itamtoa huyu mzee barabarani,
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata umewaza nini khaa,Honi ya treni pekee ndo itamtoa huyu mzee barabarani,
Mimi sijui, niambie wanatumwa na kina nani?
Sasa kama umejuwa umedanganywa yanini unaurudia uongo?Wewe ulinidanganya.
Nini maana ya kusema "nchi wa waislamu?"
Tuanze hapo
Usisite kusema hata Tanzania bara ni nchi wa wakristo kwa maana zote.Zanzibar ni nchi ya Waislam kwa maana zote uzijuazo.
Wishful thinking.Usisite kusema hata Tanzania bara ni nchi wa wakristo kwa maana zote.
Same as you.Wishful thinking.
Tofatisha shehe na sheikh.btw hata angekuwa sheikh ni mwanamume pia.Si kila anae vaa kanzu ni sheikh.Hichi ni kivazi tu hasa watu wazima hupendelea sana.Pia kwa kule daresalama ni fashion tu si unawaona Diamonds,lemutuz ,mwanafa na wengineo?