Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,719
watakua wanarekodi ile move ya kova nyingine si aliambiwa na sugu kua arudi studio?ngoja tusubili labda itaeleweka
Like yako mkuu.
watakua wanarekodi ile move ya kova nyingine si aliambiwa na sugu kua arudi studio?ngoja tusubili labda itaeleweka
Harufu ya udini![/QU umejijua eeeeh kama wewe mdini
Sioni ubaya wake, ila pia yawezekana limeshauzwa jamaa hawajabadili namba, nishaendesha Cruiser ya Serikali for 1 year na number Yao mpaka majembe walipozidi Sumbua nikalipa kodi Basi.
Una akili sana weweMimi ssidhani kama kuna kosa kuazima gari la selikali,kwani wanakwaya sio wananchi? matumizi mabaya ni kama kwenda kwenye ulevi umalaya nk,lakini kuwezesha wananchi kunadhambi gani hapo.
Matumizi sahihi ingekuwa uikute kilabuni, guest na mabwepande??????????????????
gari za serikali zina beba wana kwaya kwenda ku shoot video ...! ... haijatulia hiii! bora uswe umeongea weye! ningesema mimi ningeambiwa mdini as usual
Una akili sana wewe
Are we sure hiyo ni kwaya ya kanisani?
Kuna kila sababu wahusika kutueleza inakuwaje gari ya serikali kupeleka watu kurekodi kwaya, naamini hii haija kaa sawa
Hakika wewe ni kipofu!ungeweka picha mkuu
Tumeziona nyingi tu kama hizo zinabeba majani ya ng'ombe, kufuata mkaa porini na kupeleka house girls sokoni, ninapoona nakumbuka makato ya kodi ktk salary yangu kila mwisho wa mwezi.Gari ya serikali, Defender yenye usajili STJ 974 iko cocobeach imeleta wanakwaya ku-shoot video, imewaleta imewasubiri wamefanya shooting na sasa ninapoandika hii wanapakia mizigo yao kwenye gari tayar kwa safari ya kuondoka.
Haya ni matumizi sahihi ya haya magari?
hizi picha nilipiga kwa simu, na sikusogea karibu sana bse nilijua itaniletea dhurumai, lakini mnaweza kuona
View attachment 59430View attachment 59431View attachment 59432