Stimulus package - vipi?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Kwa kawaida serikali yoyote ikifanya kitu kinacho gharimu pesa nyingi huwa kuna updates ya pesa zime tumika vipi na maendeleo ya huo mpango upoje. Sasa tokea serikali yetu itoe "stimulus package" sija sikia tena chochote kuhusu hilo swala. Sija sikia hizo pesa zime tumika vipi na kama nia ya hizo pesa inaelekea kutimizwa au la. Jamani kuna mtu anaye jua chochote kuhusu "stimulus package" yetu? Je pesa hizo zime saidia? Zime fikia walengwa? Zina tumikaje?
 
Unaposema serikali "yoyote" unamaanisha Communism, Socialism?

No mkuu namaanisha kwamba mambo kama haya ya stimulus package pesa zikisha tolewa mnasikia updates ya zime tumika vipi, hao walio pokea hizo pesa wana zitumia vipi na kama pesa zime saidia au laa. Sasa hizi pesa za stimulus tokea zitangazwe sija sikia tena zimeenda wapi na zime tumikaje na kama kweli zime saidia kustimulate.
 
Swali lako la kwanza: Wanazitumia kwa kampeni na vacations.
Swali La pili- yeah, zimesaidia kustimulate familia zao na wapambe wao. Good luck.
 
Back
Top Bottom