BimaYaAfya
Member
- Nov 10, 2018
- 69
- 101
Sisi wanyonge haituhusu.....tuondoleee maamuzi ya kiwendawazimu hapaSerikali imekabidhi rasmi mkandarasi eneo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa bwawa la kuzalisha umeme ‘’Stiegler’s Gorge’’. Hii inatoa njia kwa mkandarasi kuanza kazi rasmi ambayo itaongeza zaidi ya Megawatts za 2,100 za umeme kwenye gridi ya kitaifa.
Serikali imetenga Shilingi bilioni 700 kutoka vyanzo vya mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2018/2019 kwa ajili ya kutekeleza mradi huo.
Eneo la ujenzi wa maradi huo lilikabidhiwa rasmi kwa mkandarasi, Arab Contractors Company ambayo itafanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya EI Swedy na kukamilisha mradi huo mwaka 2022. Bwawa hilo litakuwa kubwa zaidi Afrika, na la kwanza katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na uwezo wa kutunza maji yenye ujazo wa lita bilioni 3.3, pia litasaidia katika kukuza kilimo cha umwagiliaji.
Mradi huo utakapokamilika utaondoa tatizo la uhaba wa nishati ya umeme nchini
Megawatts zaidi ya 2000!
Yetu macho na masikio kwani CCM ni ile ile.
wanyonge hawatukani.....Sisi wanyonge haituhusu.....tuondoleee maamuzi ya kiwendawazimu hapa
Hizi ndio huwa lugha zenu alafu mwisho wa siku hadithi hubadilika.Ni megawati 2115 na bwawa likikamilika litakuwa la nne kwa ukubwa barani Afrika.
We sio mnyonge tulia usituletee ushuzi wa shibe uliyopewa na jiwe!!!!Very selfishwanyonge hawatukani.....
Hizi ndio huwa lugha zenu alafu mwisho wa siku hadithi hubadilika.
Kwenye korosho mbona yamewashinda?Sio wakti huu, hii ni awamu ingine kabisa.
Lakwanza lipi mkuuNi megawati 2115 na bwawa likikamilika litakuwa la nne kwa ukubwa barani Afrika.
Mko wangapi, na je hao wanyonge wenzio ndio wamekutuma?Sisi wanyonge haituhusu.....tuondoleee maamuzi ya kiwendawazimu hapa
Huyu Rais anatakiwa aombewe na kupewa ulinzi na kila mwananchi ili akamilishe PLAN zake zote tena napendekeza ahamie pale ngere ngere barracks penye usalama wa hali ya juu kabisa awe anatoa directives akiwa pale bila kutoka ili iwe vigimu hata mamluki kutoka nje kumfikia. Wapiga deal na wahujumu wote wawe wanapelekwa pale kutumbuliwa period. Nimechoka mimi.
Huyu Rais anatakiwa aombewe na kupewa ulinzi na kila mwananchi ili akamilishe PLAN zake zote tena napendekeza ahamie pale ngere ngere barracks penye usalama wa hali ya juu kabisa awe anatoa directives akiwa pale bila kutoka ili iwe vigimu hata mamluki kutoka nje kumfikia. Wapiga deal na wahujumu wote wawe wanapelekwa pale kutumbuliwa period. Nimechoka mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app