Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo.
Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye utekelezaji na itakuwa bora tukazungumzia mradi huu kwa mtazamo wa kibishara na kiuchumi.
Mkurugenzi Mkuu wa RUBADA Bw. Aloyce Masanja akibadilishana nyaraka za makubaliaon ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge pamoja na mkurugenzi wa biashara wa kampuni ya Odebrecht ya Brazil Bw. Fernando Soares jana mjini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya MICHUZI Blog