Steven Wassira na Esther Bulaya wanapambana

Wasira piga huyo dogooooo....
Hana adabu...hawezi kushindana na chama dumeee
 
Ni kumdhalilisha mzee wetu Wasira. Kwanza Esta ni mutoto wake. Pili Wasira aligombea urais, sio jimbo. Sasa anatuonesha urais Tz ulivyokuwa mrahisiiii. Utatakaje kugombea Tz nzima utolewe kamasi na kasichana kadogo tuu jimboni mwako ulikotumika miaka nenda miaka rudi??
Nasema, Esta, usiue tembo kwa bua. Ni kaushauri tuuu. Pore sako Mughakha muraundiiiii. Nkyebahye mura?? Angaria usituaibicheeee
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema Bunda
mjini Esther Bulaya koo limekauka akiwa jukwaani
na kuomba maji ya kunywa na hatimaye kutaka
kuanguka na kushikiliwa na kuondolewa eneo la
mkutano na hatimaye kampeni kuishia hapo.
 
Du wasiraaa bado yupo tuu. Hawa wazee wanatakiwa kupumzika. Ila utasikia kashinda na anakuwa waziri kwa awamu ya tano. Miaka 40 mpaka 50
 
Safi sana .mabadiliko ni muhimu.mpige kipigo cha kutosha arudi gombe.
 
Easter ushindi asubuhi tu yani na wakithubutu kuleta ujinga wa kupindua matokeo litakalo wapata watajuta maishani mwao.
 
Back
Top Bottom