Steven Nyerere: Kuna watu Leo hawatalala

nina uhakika 100% yeye kama muslim anawadharau sana hao majadi jadi, anajiona kama vile yuko zoo, na mnampa sababu ya kuwastaarabisha …
 
Wakuu

====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika maandishi haya.

Wapo watu leo hawata lala Maana walitumia Nguvu nyingi kuandika kwenye mitandao kijamii kufanya vikao na wajinga wenzao Na walifika mbali zaidi kusema Kanda Ya ziwa Fyoko.

Naimani mpaka Muda huu watakuwa Wamepata majibu Ya Dr Samia Suluhu Hassan Anakubarika kwa vitendo sio braaaa braaaaaa.

Leo ni karibu Mama Na dhahiri wanasema Mama Tuachie October Tunatiki kila kona wanaongea ni Aibu sana kuendelea kubishana wakati Ukweli mnauwona.

Haya ni mafuriko ya Watu wanaompenda Rais wao Tena huku huku kanda ya ziwa Naimani wale Mapimbi Wameamua kunywa dawa za sukari presha Mapema leo.

Kanda ya Ziwa Asanteni Mmewajibu kwa vitendo wale waroho wa Madaraka Wenye kamdomo Kamdomo kamdomo.

View attachment 3377027
View attachment 3377028
View attachment 3377029
Huyo ni Steven Mengele sio steven Nyerere. Wenye jina lao wamempiga marufuku kutumia jina lao. Hadi mwanae eti anajiita Alex Nyerere..
 
I will comment later, I'm in the hospital right now... My cousin swallowed 512Gb memory card and he is singing all songs in it. We are praying and hoping it doesn't reach the video 📂 ☺️
Interesting!
Let's hope the absorption rate of the Gbs is not high. Have you tried giving him a gallon of milk?
We wish him a quick recovery
 
Wakuu

====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika maandishi haya.

Wapo watu leo hawata lala Maana walitumia Nguvu nyingi kuandika kwenye mitandao kijamii kufanya vikao na wajinga wenzao Na walifika mbali zaidi kusema Kanda Ya ziwa Fyoko.

Naimani mpaka Muda huu watakuwa Wamepata majibu Ya Dr Samia Suluhu Hassan Anakubarika kwa vitendo sio braaaa braaaaaa.

Leo ni karibu Mama Na dhahiri wanasema Mama Tuachie October Tunatiki kila kona wanaongea ni Aibu sana kuendelea kubishana wakati Ukweli mnauwona.

Haya ni mafuriko ya Watu wanaompenda Rais wao Tena huku huku kanda ya ziwa Naimani wale Mapimbi Wameamua kunywa dawa za sukari presha Mapema leo.

Kanda ya Ziwa Asanteni Mmewajibu kwa vitendo wale waroho wa Madaraka Wenye kamdomo Kamdomo kamdomo.

View attachment 3377027
View attachment 3377028
View attachment 3377029
Wajinga ndiyo watamuelewa Steve. Ni yupi mwenye akili timamu hajui upuuzi ulifanyika Mwanza na simiyu?
 
Huyu mtu mmoja aliitwa Omary pale Mhueza Tanga enzi za mzee wetu Kikwete sina shaka kwamba hamfahamu, so dogo akae kwa tulia , maisha hubadilika
Kwa hiyo huyu mtu, moja ya jina lake ni Omary; toka Muheza, Tanga. Kuna anayejuwa majina yake mawili mengine?
Wengine wetu hata sura hatumjui, huyu 'Steve Nyerere', mwenye picha yake atuwekee, pengine tukiiona tutajuwa majina yake halisi ni yapi. Huko Muheza naona kuna watu mashuhuri, kama yule mbunge wa huko!
 
Wakuu

====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika maandishi haya.

Wapo watu leo hawata lala Maana walitumia Nguvu nyingi kuandika kwenye mitandao kijamii kufanya vikao na wajinga wenzao Na walifika mbali zaidi kusema Kanda Ya ziwa Fyoko.

Naimani mpaka Muda huu watakuwa Wamepata majibu Ya Dr Samia Suluhu Hassan Anakubarika kwa vitendo sio braaaa braaaaaa.

Leo ni karibu Mama Na dhahiri wanasema Mama Tuachie October Tunatiki kila kona wanaongea ni Aibu sana kuendelea kubishana wakati Ukweli mnauwona.

Haya ni mafuriko ya Watu wanaompenda Rais wao Tena huku huku kanda ya ziwa Naimani wale Mapimbi Wameamua kunywa dawa za sukari presha Mapema leo.

Kanda ya Ziwa Asanteni Mmewajibu kwa vitendo wale waroho wa Madaraka Wenye kamdomo Kamdomo kamdomo.

View attachment 3377027
View attachment 3377028
View attachment 3377029
Kwani si wamelipwa🙄🙄
 
Wajinga ndiyo watamuelewa Steve. Ni yupi mwenye akili timamu hajui upuuzi ulifanyika Mwanza na simiyu?
Mkuu 'Magufuli05', wewe unauita "upuuzi"; wenzio huo ndio mpango mzima utakao wahakikishia kubaki madarakani kwa njia za kidanganyifu (kipuuzi) kama hizo!
Wanachojali wao ni kubaki madarakani tu basi; hawajali uhalali wa njia zilizotumika kuwabakisha kwenye madaraka.
 
Muoneeni huruma kisha mwambieni akajifunze kwa Musiba
Hamna haja ya kumuonea huruma, ndio ugali wake ulipo, hawezi kumpinga mama wala yoyote kwenye utawala wa CCM, watakuja wataondoka ila huyi mwamba mpaka ondoke ataganya kazi za ccm

utakuwa suprised ukija kujua kampeni yake ya mama ongea na mwanao ina impact gani katika jamii, well structured, well funded, well excuting accoeding tothe plan..kwa jina la mama. Hapa tunaongelea

1. Watato kuvishwa viatu
2. Umifor.
3. Wheel chairs kwa walemavu

Anapoenda Steve ndipo alipo mama, kwa hiyo akiongea jambo usilichukulie kirahisi
 
Wakuu

====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika maandishi haya.

Wapo watu leo hawata lala Maana walitumia Nguvu nyingi kuandika kwenye mitandao kijamii kufanya vikao na wajinga wenzao Na walifika mbali zaidi kusema Kanda Ya ziwa Fyoko.

Naimani mpaka Muda huu watakuwa Wamepata majibu Ya Dr Samia Suluhu Hassan Anakubarika kwa vitendo sio braaaa braaaaaa.

Leo ni karibu Mama Na dhahiri wanasema Mama Tuachie October Tunatiki kila kona wanaongea ni Aibu sana kuendelea kubishana wakati Ukweli mnauwona.

Haya ni mafuriko ya Watu wanaompenda Rais wao Tena huku huku kanda ya ziwa Naimani wale Mapimbi Wameamua kunywa dawa za sukari presha Mapema leo.

Kanda ya Ziwa Asanteni Mmewajibu kwa vitendo wale waroho wa Madaraka Wenye kamdomo Kamdomo kamdomo.

View attachment 3377027
View attachment 3377028
View attachment 3377029
Unakuta ameyaongea hayo akiwa kanda ya ziwa na si mkaz wa kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom