Steve Nyerere: Harakati za Makonda kwa Bongo movie ni batili na za kujitafutia umaarufu

Tangu mama wema akakomeshe naona kuna nati zimelegea kichwani kwake maana siku hizi kanaropoka pumba tuu sijui posho zote kalizokua kanapokea zimekatwa!!!malipo ya unafiki hayo.
nina uhakika hujamsikiliza, kuna wakati tuijadili hoja ya mtu na sio historia ya mtu huyo.... mitindo, tabia na fikra zetu hubadilishwa na yale tunayokutana nayo katika maisha
 
Steve ana hoja gani nae. Aisee kumbe kuna watu mmekamatika kwa hizo drama zake ee
nina uhakika hujamsikiliza, kuna wakati tuijadili hoja ya mtu na sio historia ya mtu huyo.... mitindo, tabia na fikra zetu hubadilishwa na yale tunayokutana nayo katika maisha
 
15306041_1787949331446630_5915749659858436096_n.jpg

Majinga bhana sema hivi akili imeanza kumrudia sawa sawa. Ameona ni upumbafu kutumika hovyo hovyo na bashite ni kujishushia value. Majinga bhana.
 
Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu wote wa mikoa na polisi na sio Dar tu kwa kuwa vitu vingi vinavyovyoanzishwa hapa Dar vinafeli,
Pia alisema pia Makonda aliwaita watu watano, na tasnia ya filamu haiongozwi na watu hao

Asingekuwa na bifu naye sasa hivi angekuwa anaimba sifa kedekede.
 
sorry heb nieleweshe fresh umemanisha nini, inaonekana kuna madini unataka kuyatoa
AHAHAHAHAHHAHAHHAHHA!
mekushindwa tabia!
AKIKUPA HAYO MADINI unirushie hata mchanga wake tu utanifaa!kwa matumizi ya baadae!
 
Huyu bwana mdogo nadhani akili zake zinafanana na jinsi alivyo... Hafahamu kuwa kila kitu kina mwanzo na mipaka yake! RC - Makonda ameshaonyesha uwezo mkubwa na makini wa kuanzisha mambo yenye kugusa hisia za jamii, anatimiza wajibu wake kwa Mkoa wake na Ma RC wengine kama wanaona inafaa watafuahata kwenye mikoa yao, hatimaye Taifa zima.
Mpaka sasa huyu bwana mdogo (Sijui kama ni umbile inawezekana ni mjeba) hajajifunza! Juzijuzi ameongea mambo ya kipuuzi sana yaliyowagusa viongozi wa kitaifa na wengine yamewa cost. Ilitakiwa akae Sero kidogo ajifunze kuwa usanii una mipaka yake, yeye anadhani tumesahau maujinga yake
 
AHAHAHAHAHHAHAHHAHHA!
mekushindwa tabia!
AKIKUPA HAYO MADINI unirushie hata mchanga wake tu utanifaa!kwa matumizi ya baadae!
Nadhani atakurushia mchanga wa pwani ukupate jichoni. Hakuna Hata madini Hapa,vumbi tu Ndio limejaa
 
Back
Top Bottom