cheeter
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 475
- 155
i bought Huawei cdma, lile simu kubwa la mezani kitambo sana...speed yake ni 256kb/s...kwa zamani nadhani ilikua ni speed iliyokua inakidhi maitaji yangu..OLD IS GOLD,nimeitunza sna,sasa nilikua naomba msaada wa ku-unlock ili nimwachie housegirl awe anaitumia.any steps to unlock?please let me know..
nawakilisha
nawakilisha