PreGE2025 Stephen Wasira: CCM itashinda bila kutegemea Jeshi La Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kila siku wanasema hivyo. Wangekuwa hawategemei POLICCM... Wasingekuwa wanaimba huo wimbo kila siku.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Alikuwa amepiga cha Arusha au?
 
Wanaweka mazingira hasi kwa wenzao halafu wanajimwambafai kwamba watashinda... da. hizi ni dharau kwa akili za watu.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

well done ndugu stephen wasira kwa kusema ukweli,

ccm itashinda uchaguzi, itakamata dola, itaunda serikali ya kuwatumikia waTanzania na kuongoza nchi kupitia chaguzi za kikatiba pekee,
dunia inafaa kuelewa hivyo :NoGodNo:
 
Halafu kila Jumapili na Ijumaa wako kwenye nyumba za ibada
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Hamwezi kuacha kulitegemea kwakuwa kwanza mlisha lemaa kwa mazoea hayo,na bila kuwatumia hao hata TLP inaweza kuwashinda kwenye sanduku halali la kura.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kama ni kweli kwanini hawataki reform!!! mzee kalewa.
 
Haiwezekani
 
Kama mwaka jana wameiba wakati wakiwa wao tu na nje jeshi la polisi likiwezesha logistics haina tofauti na October kwani bado watakuwa wao.
 
Naona anajishuku.
 
Back
Top Bottom