PreGE2025 Stephen Wasira: CCM itashinda bila kutegemea Jeshi La Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,464
Reaction score
6,775
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kumbe uwa wanawategemea
 
Mzee ficha aibu yako wewe mwenyewe umeshawahi kuwa mhanga wa wizi wa kura wa hilo genge la majambazi kwa msaada wa majambazi yanayovaa uniform.

downloadfile-24.jpg
downloadfile-35.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Umri huo siyo wa kuendelea kuchukua dhambi zinazoepukika.
 
kwahiyo tuamini kuwa awamu hii mmejipanga na mnaenda kuterekeza sasa vibalaka wenu na kuwa tuamini mmebadrika?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kuna vitu vinatia hasira hadi basi ila iko siku kama siyo sisi labda kwa watoto wetu
 
Term hii watu wengi watakufa njaa maana CCM haitatumia nguvu kubwa kuhonga watu kwenye uchaguzi,tegemea watu wengi kuwasaliti au kujitoa maana walitegemea kupewa kitu ili kuipenda,tegemea kampeni zisizokuwa na mvuto,pamoja na polisi wakifa njaa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka
 
Attachments

  • 6026540-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.

Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.

Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

In parallel universe
 
Back
Top Bottom