Stephen Sackur wa BBC HARDtalk akubali kumhoji Rais Magufuli

Rais hana muda kupoteza kujibizana na watu wasiojielewa. Jitu linatembea kuichafua nchi kila mahali sasa naye Rais azunguke kila chombo kujibizana na lisu? Umemshawishi mwandishi ili ufurahishe nafsi yako? Ahojiwe asijiwe nchi ina mambo mengi ya maendeleo ya kufanya sio kufurahisha mipasho.
Inchi haichafuliwi ndivyo ilivyo....kumbuka kijiko ni kijiko wala kijiko hakiwezi kuitwa beleshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom